NIPASHE

28Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Dk. Mpango aliyeambatana na baadhi ya maofisa wa Mamlaka ya Mapato (TRA) mkoa wa Dodoma, amebaini baadhi ya wafanyabiashara hao wasio waaminifu hawatoi risiti huku wengine wakiandika kiwango kidogo...

MKUU wa Wilaya ya Babati, Raimond Mushi.

28Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Alisema kilimo cha sasa kinapaswa kuendeshwa kisayansi na kufuata ushauri wa kitaalamu, ambapo ni pamoja na kutumia mbegu bora zilizofanyiwa utafiti kulingana na mahitaji ya maeneo ya wakulima....
28Jul 2017
Frank Monyo
Nipashe
Akiongoza kikao cha kujadali mwongozo huo Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua amesema kuwa mwongozo huo ni nyenzo muhimu ya kusaidia kutatua changamoto...
28Jul 2017
Frank Monyo
Nipashe
Hatua hiyo imekuja baada ya Serikali ya Kijiji ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kijiji hicho, Thomas Alila na Mtendaji wa kijiji, Charles Mbilingi, kuuza eneo kwa kiasi cha shilingi Milioni sita (6)....
28Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hayo yalisemwa jana na Kaimu Mkuu wa Bandari ya Kyela, Ajuaye Msese, wakati anazungumza na wandishi wa habari jijini Mbeya, ambapo alisema meli hizo zenye uwezo wa kubeba tani 1,000 kila moja...
28Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Che Mohamad Zulkifly Jusoh kutoka chama tawala cha Barisan Nasional, alikuwa akizungumza wakati wa mjadala wa Bunge kuhusu dhuluma za nyumbani. Malaysia iko katika mikakati ya kufanyia sheria...
28Jul 2017
Frank Monyo
Nipashe
Muda mchache kupita kwa maamuzi hayo Mbunge huyo kupitia ukurasa wake wa twitter ameandika maneno machache ambayo amemshukuru Mungu kwa kitendo cha kushinda kesi hiyo dhidi ya wapiga kura hao. ...
28Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Aidha, imesitisha ajira za walimu watatu, wawili wakishushwa madaraja na sita wakipewa adhabu ya onyo na  karipio kali kwa barua. Kaimu Katibu Msaidizi wa kamati hiyo, wilayani  Nyang’hwale,  Aron...
28Jul 2017
Mary Mosha
Nipashe
Akizungumza hivi karibuni, katika warsha na waandishi wa habari mkoani Kilimanjaro, Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za taifa (TANAPA),Pascal Shelutete, alisema chanzo cha migogoro ya mipaka...
28Jul 2017
Nebart Msokwa
Nipashe
Wakizungumza kwenye kikao cha Baraza la Madiwani kilichofanyika juzi, madiwani hao walisema Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William Ole Nasha, alipofanya ziara wilayani humo, alisema bei ya...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Jonathan Shana.

28Jul 2017
Margaret Malisa
Nipashe
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Jonathan Shana, alisema tukio hilo lilitokea juzi saa moja jioni na kwamba mwili wa mwanamke huyo ulikutwa nje ya nyumba anayoishi mbele kidogo umbali wa mita 40...
28Jul 2017
Mary Mosha
Nipashe
Nasha alitoa agizo hilo juzi katika kijiji cha Ruvu Mferejini na Karamba, Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, baada ya wafugaji kulalamikia kitendo cha wakulima kuendelea kulima kwenye maeneo...
28Jul 2017
Nebart Msokwa
Nipashe
Madusa alisema juzi kuwa alipata taarifa ya mtumishi huyo (jina linahifadhiwa) kwa sababu za kiuchunguzi kuwa alidai Sh. 30,000 lakini mzazi huyo alikuwa hana kiasi hicho hivyo akampatia nusu na...
28Jul 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Aidha, Tanzania inatabiriwa kutegemea ukuaji wa kasi wa uchumi wenye wastani wa asilimia  6 kwa   mwaka   na  pia ongezeko kubwa  la  idadi   ya   watu  lenye wastani   wa asilimia 2.9 kwa mwaka....
28Jul 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Mahakama ilifikia uamuzi wa kumwachia baada ya kutupilia mbali pingamizi lililotolewa na upande wa Jamhuri kuhusu dhamana, hivyo kumweka huru Lissu ambaye kwa mujibu wa vyanzo vya Nipashe, alikuwa...
28Jul 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Simba iko Afrika Kusini kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambao utafanyika kuanzia Agosti 26 mwaka huu, lakini ikiukaribisha kwa kuwavaa mahasimu wao Yanga kwenye mechi...
28Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
kuteuliwa wengine kwa haraka na kisha jana kuidhinishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakati kundi jingine likikimbilia mahakamani kupinga jambo hilo. Jana, wabunge wanane wa CUF...
28Jul 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Awali kabla, walikuwapo baadhi ya watu waliokuwa wakishikilia vyeo zaidi ya viwili na kusababisha fursa zingine, kana kwamba hakuna Watanzania wengine wenye sifa za kushika nafasi walizokuwa...

Kocha Mkuu wa Lipuli FC, Selemani Matola .

28Jul 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jana, Matola, alisema kuwa wachezaji hao wapya tayari ameshawapendekeza na walifanya majaribio kwenye kikosi cha timu hiyo kilipokuwa kinafanya mazoezi kwenye Uwanja wa...

MARIETHA Mputika, akitia saini mkataba uliompa mafanikio makubwa ya hivi karibuni katika biashara yake. PICHA: YASMINE PROTACE.

28Jul 2017
Yasmine Protace
Nipashe
Aliamua kuacha kazi katika nafasi nzuri na kujiunga na ujasiriamali, ambayo sasa imemtengenezea nuru kubwa ya maisha, kwani ni mfanyabishara mkubwa, akiweka kwenye bidhaa yenye thamani ya Sh. bilioni...

Pages