NIPASHE JUMAPILI

23Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ushauri huo ulitolewa jana na ofisa wa mawasiliano wa Mamlaka ya Kudhibiti Mawasiliano (TCRA) Kanda ya Tanga, Julius Felix, wakati wa semina ya mafunzo kwa wanahabari iliyolenga kuelimisha jamii...
23Jul 2017
Ibrahim Yassin
Nipashe Jumapili
Kutokana na Serikali kuanza ujenzi wa barabara hiyo kwa kiwango cha lami, wananchi wameeleza jinsi changamoto za kiuchumi zilizotokana na ubovu wa barabara ya kiwango cha lami zilivyowatesa kipindi...
23Jul 2017
George Tarimo
Nipashe Jumapili
Agizo hilo limetolewa na Waziri Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi, William Lukuvi wakati akizindua mpango mkakati wa miaka 20 (Master Plan) wa mji wa Iringa kuwa Jiji. Waziri Lukuvi amesema...
23Jul 2017
Frank Monyo
Nipashe Jumapili
Waziri Mkuu amewasimamisha kazi maofisa hao wakati alipozungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari Vwawa, akiwa katika ziara yake ya kikazi....
23Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
IGP Sirro aliyasema hayo mkoani Kagera baada ya kukamilisha ziara yake wakati wa ziara ya Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza na Rais John Magufuli. "Askari wangu nimewaeleza kwa umakini suala la...
23Jul 2017
Dege Masoli
Nipashe Jumapili
Kwa mujibu wa Meneja Msaidizi wa TRA Mkoa wa Tanga, Jumbe Magoti, boti hizo zilikamatwa kati ya Julai 6 na 16 wakati zikishusha bidhaa hizo kwenye eneo ambalo ni bandari bubu la kijiji cha Kigombe...
23Jul 2017
Lilian Lugakingira
Nipashe Jumapili
IGP Sirro alitoa kauli hiyo wakati akizungumza na watumishi wa jeshi hilo wa mkoa wa Kagera. Aliwaonya askari kujihusisha na vitendo vya kuwadhulumu raia haki zao ikiwamo kuwabambikizia kesi...
23Jul 2017
Hellen Mwango
Nipashe Jumapili
Kadhalika, alidai kuwa kwa mujibu wa sheria ya manunuzi,maombi ya nyongeza ya pampasi hizo yalipaswa kupelekwa mbele ya bodi na si menejimenti.Kamugisha alitoa ushahidi wa Jamhuri dhidi ya Kaimu...

RAIS John Magufuli.

23Jul 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Alisema watu waliokuwa wakitanguliza maslahi binafsi ndio waliofanikisha jambo hilo kwa kutozingatia maslahi ya taifa. Magufuli aliyasema hayo jana mjini Kigoma katika ziara yake mkoani humo...

January Makamba.

23Jul 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
amekumbana na changamoto ya aina yake baada ya uamuzi mzito alioufanya hivi karibuni dhidi ya baadhi ya viongozi wa Baraza la Taifa la Usimamizi na Uhifadhi wa Mazingira (NEMC) kutupiliwa mbali na...
23Jul 2017
Gaudensia Mngumi
Nipashe Jumapili
Japo hakuna utafiti uliofanyika kuthibitisha au kukanusha, kuna watu wamefanikiwa kunusuru simu zao, anasema Meneja wa Idara wa Teknolojia ya Mawasilaino (IT) wa the Guardian Limited, Moiz...
23Jul 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Ni aibu kwa binadamu mwenye akili timamu kuweka haja yake kwenye mfuko wa plastiki na kuutupa bila kujali mazingira yanayozungukwa na watu wengine. Kwanza kitendo hicho kinahatarisha afya za watu...
23Jul 2017
Ibrahim Mkamba
Nipashe Jumapili
Mabasi kadhaa ya daladala ya Moshi yana vikapu vilivyoning’inizwa ili kutupia uchafu. Kila mfanyabiashara anayeuza bidhaa zinazozalisha uchafu huwa na vifaa ambavyo wateja wake hutupia taka....
23Jul 2017
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Maendeleo yanategemea wanajamii wote bila kujali umri, kabila, itikadi, jinsi wala taifa. Kwa mujibu wa Mwanafalsafa, Abraham Moslow’s, ili binadamu ahesabike ameendelea anahitaji kupita kwenye...
23Jul 2017
Mhariri
Nipashe Jumapili
Onyo hilo alilitoa juzi alipokuwa akihutubia wananchi katika ziara yake mkoani Kigoma, wilaya ya Kasulu wakati wa kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya Kibondo hadi Nyakanazi. Alisema...
23Jul 2017
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Waliuliza swali hilo kutokana na ukweli kwamba mkakati ya kuhamia Dodoma ulianza zaidi ya miaka 40 iliyopita, lakini hakuna kiongozi wa nchi katika awamu nne zilizotangulia, aliyefanikisha safari...
23Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mbali na Kaseke, Singida United ambayo imepanda daraja pamoja na Njombe Mji na Lipuli FC, siku nne zilizopita ilitangaza kumsajili kipa Ally Mustapha "Barthez" kutoka Yanga. Akizungumza na gazeti...
23Jul 2017
Friday Simbaya
Nipashe Jumapili
Lipuli FC ambayo msimu ujao itashiriki Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajia kufanya uchaguzi mkuu leo mkoani hapa imeelezwa. Akizungumza na gazeti hili jana ,Mrema alisema kuwa Lipuli ambayo imepanda...
23Jul 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
*** Ni timu ya Daraja la kwanza na la Pili, wakala ateta na Simba imruhusu ili...
Mbali na klabu hiyo ya Ufaransa, pia mshambuliaji huyo wa Timu ya Taifa ya Burundi pia anatakiwa na timu nyingine inayoshiriki Ligi Kuu Serbia. Akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu kutoka...
23Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
imetolewa katika mashindano ya kusaka tiketi ya kucheza fainali zijazo za Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) baada ya kutoka suluhu na Rwanda (Amavubi) katika mchezo uliopigwa jana kwenye Uwanja wa...

Pages