NIPASHE

22Jan 2018
Mhariri
Nipashe
Simba inaendelea kuongoza ligi ikiwaacha wapinzani wao wa karibu, Azam FC kwa pointi mbili, hiyo ni kabla ya michezo ya jana na leo.Hakika ugumu wa ligi msimu huu umeongeza msisimko mkubwa, huku kila...

Kocha Msaidizi wa Simba, Masoud Djuma.

22Jan 2018
Faustine Feliciane
Nipashe
Simba inayodhaminiwa na Kampuni ya Kubashiri Matokeo Michezoni ya SportPesa, iliibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya matajiri hao wa Singida kwenye mchezo uliochezwa Alhamisi iliyopita katika...

Emmanuel Okwi.

22Jan 2018
Faustine Feliciane
Nipashe
Simba kwa siku za karibuni imekuwa ikitumia mfumo wa 3-5-2 chini ya aliyekuwa kaimu kocha mkuu, Masoud Djuma, ambaye ameipa ushindi kwenye michezo yote miwili ya Ligi Kuu aliyokiongoza kikosi hicho....

Mfungaji wa bao pekee la Yanga, Kiungo Pius Buswita, akipasua katikati ya wachezaji wa Ruvu Shooting kwenye mechi ya Ligi Kuu iliyopigwa katika Uwanja wa Taifa jana. Yanga ilishinda 1-0. PICHA: BIN ZUBEIRY

22Jan 2018
Faustine Feliciane
Nipashe
***Watoa onyo, Azam FC ikikaa kileleni kwa muda baada...
Yanga inayodhaminiwa na Kampuni ya Kubashiri Matokeo Michezoni ya SportPesa, jana ilifanikiwa kupata ushindi huo wa kwanza katika mechi nne zilizopita za Ligi Kuu ilizocheza kufuatia kutoka sare...

Mohamed "Mo" Dewji.

22Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Serikali imetoa msisitizo kwa 'Wekundu wa Msimbazi' hao kuzingatia sheria na kanuni zinayosimamia suala la uwekezaji kwa klabu zilizoanzishwa na wanachama, kutakiwa kumiliki asilimia 51 na...

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CCM) Mhe.Peter Serukamba akizungumza jambo na Mbunge wa Nzega Mjini Mhe.Hussein Bashe.

22Jan 2018
Sanula Athanas
Nipashe
Mkutano wa 10 wa Bunge la 11 umepangwa kuanza Jumanne ijayo hadi Februari 9.Kwa sasa muswada huo, unafanyiwa kazi na Bunge kwa kuchambuliwa na kamati yake ya Kudumu ya Huduma na Maendeleo ya Jamii....

Simba Queens.

22Jan 2018
Somoe Ng'itu
Nipashe
Tofauti na msimu uliopita, msimu huu wa 2017/18, umeendeshwa katika mfumo mpya ambao hatua ya kwanza timu zilipangwa katika makundi mawili yenye timu sita na kucheza kwa mkondo mmoja ili kusaka klabu...

Mganda Emmanuel Okwi.

22Jan 2018
Adam Fungamwango
Nipashe
Ilichezwa kwenye Uwanja wa Sokoine na Simba ikashinda bao 1-0,  lililofungwa na Shiza Kichuya.Hakucheza mechi yoyote ya Ligi Kuu hadi Januari 18, alipocheza  dhidi ya Singida United....

Samaki.

22Jan 2018
Gurian Adolf
Nipashe
Pamoja na kusaidia wavuvi kufanya biashara, Wangabo alisema mwalo huo utakuwa chanzo kizuri cha mapato kwa halmashauri hiyo.Alitoa agizo hilo juzi wakati akiwa kwenye ziara ya kukagua kambi za wavuvi...

Patashika nguo kuchanika, wakati beki wa Mwadui, Idd Mobi (kulia), akijaribu kumzuia straika wa Yanga, Amissi Tambwe, kwenye mechi ya Ligi Kuu dhidi ya Yanga, Jumatano iliyopita na timu hizo kutoka sare ya bila kufungana.

22Jan 2018
Adam Fungamwango
Nipashe
Mechi dhidi ya Mwadui, iliifanya Yanga kufikisha mechi tatu mfululizo bila kupata ushindi wowote kitu ambacho ni nadra sana kwa timu hiyo iliyotwaa ubingwa mara tatu mfululizo.Mwandishi wa makala...

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Freeman Mbowe.

22Jan 2018
Salome Kitomari
Nipashe
Katika onyo hilo, mwenyekiti huyo wa Chadema pia amejumuisha Jeshi la Polisi, wakuu wa wilaya na mikoa. Akizungumza na Nipashe kwa njia ya simu jana, Mbowe alisema uchaguzi mdogo katika kata 43...

Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo) akihutubia wakazi wa Manispaa ya Kigoma/Ujiji kwenye uwanja wa Mwanga Centre juzi, kuhusu kero ya ongezeko la tozo za vibanda katika soko la Mtambukwa. PICHA: MAGRETH MAGOSSO.

22Jan 2018
Joctan Ngelly
Nipashe
Vibanda hivyo vipo maeneo ya Mwanga na Kigoma Mjini na lengo lake ni kutaka kodi ipungue kutoka Sh. 50,000 hadi Sh. 30,000 ambayo ilikuwa imepitishwa na waziri mwenye dhamana. Zitto aliyasema...

Marehemu Pendo (kulia) na mdogo wake enzi za uhai wao. Wote wameuawa kinyama (picha ndogo) Mtoto Joshua enzi za uhai wake.

22Jan 2018
Robert Temaliwa
Nipashe
Kaimu Kamanda Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam wakati huo, Benedict Katalika aliwaambia waandishi wa habari mwanzoni mwa mwezi kuwa Lucas aliwaua mkewe, Upendo Lukule, shemejiye Magreth Samwel na...
22Jan 2018
Peter Mkwavila
Nipashe
Kilio hicho kimekuja baada ya Manispaa ya Dodoma kufyeka mazao mbalimbali yaliyokuwa yamelimwa na wakulima kwenye maeneo hayo, yakiwemo mtama, mahindi na mboga za majani.Wakizungumza na Nipashe...
22Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kamali itasaidia walemavu hao kupitia mfuko wake wa Peoples’ Empowerment Foundation (PEF kwa kutoa miguu bandia kwa watu 108.Bei ya mguu bandia mmoja katika hospitali za rufani nchini ni kati...

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) wa Itikadi na Uenezi,, Humphrey Polepole.

22Jan 2018
Godfrey Mushi
Nipashe
Amefichua siri kuwa CCM kushindwa katika uchaguzi mkuu uliopita Jimbo la Moshi Mjini kulitokana na kudharauliwa kwa mabalozi wa nyumba kumi pamoja na kushindwa kuwa na taarifa sahihi za matatizo ya...

NAIBU Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, William ole Nasha.

22Jan 2018
John Ngunge
Nipashe
Aidha, Ole Nasha ameiagiza Mamlaka ya Elimu (TEA) kuharakisha upatikanaji wa fedha kiasi cha Sh. bilioni 1.7 kilichotengwa kwa ajili ya ujenzi wa hosteli za wasichana katika Chuo cha Ufundi Arusha (...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa , Mkewe Mary na Mama Maria Nyerere wakiwapungia wananchi katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika uwanja wa Mwenge kijijini Butiama. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.

22Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Alisema Halmashauri hiyo imekuwa na tabia ya kutumia fedha za miradi mbalimbali ya maendeleo zinazotolewa na Serikali katika shughuli nyingine jambo ambalo ni kinyume cha sheria.Waziri Mkuu alitoa...

VIWAVIJESHI.

22Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wataalamu wa kilimo wanasema, viwavi jeshi hivyo vimevamia baadhi ya vijiji katika wilaya hiyo ya Arumeru, hatua ambayo imesababisha kuharibiwa kwa mahindi mashambani.Wataalamu hao wameingilia kati...

Pep Guardiola.

22Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hicho kikiwa kipigo cha kwanza kwa kocha Pep Guardiola baada ya mechi 30, tangu alipopoteza dhidi ya Chelsea Aprili mwaka jana.Lakini je, ni timu gani zingine ambazo zilicheza mechi nyingi bila...

Pages