NIPASHE

RAIS John Magufuli.

20Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ikulu kwa vyombo vya habari, Rais Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taifa wa CCM, alikutana na kufanya mazungumzo na Polepole, Ikulu, Dar es Salaam. Aidha...

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' (Chadema) akipanda kwenye karandinga la polisi jana kurejea rumande ya Gereza la Ruanda mpaka keshokutwa baada ya kunyimwa dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya jana. PICHA: GRACE MWAKALINGA

20Jan 2018
Grace Mwakalinga
Nipashe
Warudishwe rumande baada ya kutajwa kwa kesi yao ya kutumia lugha za fedheha dhidi ya Rais John Magufuli.Hakimu Mteite alisema sababu kuamuru washtakiwa hao kuendelea kubaki rumande kuwa kuwezesha...
20Jan 2018
Mary Geofrey
Nipashe
Kitabu hicho pia kitawawezesha watumiaji wa huduma za simu kujua na wajibu wao na kujiadhari na changamoto zinazotokana na mawasiliano.Mwongozo huo ulizinduliwa jana na Waziri wa Habari, Utamaduni,...
20Jan 2018
Peter Mkwavila
Nipashe
Ushauri huo ulitolewa juzi mjini hapa na mwenyekiti wa umoja wa akina mama unaojishughulisha na upikaji wa chakula, maarufu kama ‘Kikundi cha Kinaweza’ kilichopo Majengo Sokoni, Manispaa...

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira (katikati),akikata utepe kuzindua rasmi mbio za "Kilimanjaro Marathon 208" jana mjini Moshi. PICHA: MPIGAPICHA WETU.

20Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mbio za mwaka huu ambazo zimezinduliwa rasmi juzi kwenye hoteli ya Kibo Palace Homes mjini hapa chini ya usimamizi wa Chama Cha Riadha Mkoa wa Kilimanjaro (KAAA) na waandaaji wa mbio hizo ni za 16....

Ndege ya Fastjet.

20Jan 2018
Romana Mallya
Nipashe
Mwanamke huyo aligongwa wakati akivuka kwenye barabara ya kurukia ndege, imeelezwa, wakati ndege hiyo yenye namba za usajili 58S-EJE190 ikiwa kwenye mwelekeo wa kuruka.Akizungumza na Nipashe jana,...

BEKI mpya wa Simba, Asante Kwasi.

20Jan 2018
Adam Fungamwango
Nipashe
Raia hiyo wa Ghana, alifunga bao moja juzi wakati Simba  ilipoishindilia Singida United magoli 4-0 kwenye Uwanja wa Taifa  jijini Dar es Salaam na kufikisha jumla ya magoli sita.Hata hivyo...

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Isack Kamwelwe.

20Jan 2018
Said Hamdani
Nipashe
Ombi hilo liliwasilishwa kwa Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Isack Kamwelwe na mkuu wa mkoa huo, Godfrey Zambi, alipokuwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya mradi wa maji uliopo Kata ya Ng’apa...

Ofisa Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Aman Marcel (kulia), akimjazia fomu ya kujiunga na mfuko huo. (kwa juu nembo ya pspf) picha maktaba

20Jan 2018
Augusta Njoji
Nipashe
Kutokana na hatua hiyo chama hicho kimesema kimewasilisha mapendekezo ya kuondolewa kwa kufungu hicho cha 56 kwenye muswada huo unaolenga kuanzishwa kwa sheria itakayopunguza mifuko hiyo na kubaki...

Kocha Mkuu mpya wa Simba Mfaransa, Pierre Lechantre (kushoto), akiwa na Kocha wa viungo, Aymen Mohammed Habib, baada ya kusaini mkataba wa kuifundisha timu hiyo na kukabidhiwa jezi za klabu. PICHA: SSC

20Jan 2018
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Uongozi wampa mkataba wenye "mtego", kikosi chatua salama Bukoba na kuanza tizi...
Lechantre ambaye amekabidhiwa mikoba iliyoachwa wazi na Mcameroon, Joseph Omog, alisema kuwa lengo lake ni kuona Simba inakuwa na "makali" katika kila mechi itakayocheza na kusifia kikosi...

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira.

19Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, alisema kilele hicho ambacho hutumiwa zaidi na wananchi ukanda huo kwa ajili ya kuuona kwa karibu mlima Kilimanjaro, ni mahali pazuri pa kufanyia shughuli...
19Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Muleba, Mhandisi Richard Luyango, amesema kuwa uchunguzi wa ofisi yake umebaini kesi za mimba 24 kati yake sekondari...

Katibu wa CCM wa Mkoa, Paza Mwamlima.

19Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Katibu wa CCM wa Mkoa, Paza Mwamlima, alisema hayo wakati akizungumza na Nipashe ofisini kwake namna ambavyo chama kimekwishaanza kuhakiki mali zake na kuchunguza watu ambao...

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema.

19Jan 2018
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Arusha, Patricia Kisinda, aliyeahirisha kesi hiyo, alisema Hakimu Desderi Kamugisha anayeisikiliza hakuwapo mahakamani.Bila kusema alipo na kwa sababu gani, Hakimu...

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu.

19Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Taarifa iliyotolewa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu imesema kuwa mpaka sasa Shirika la Afya Duniani (WHO) bado haijatoa taarifa rasmi lakini wao...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu.

19Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Makamu wa Rais aliyasema hayo wakati wa kuhitimisha ziara yake ya siku mbili ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa kuta za bahari na mitaro ya maji jijini Dar es Salaam.Makamu wa Rais aliwaeleza wananchi...

WAKULIMA WA PARETO.

19Jan 2018
George Tarimo
Nipashe
Ongezeko wakulima 466%; Tanzania kinara Afrika, ya pili duniani, Mashamba makubwa yarejea, wawekezaji wahamishia kiwanda nchini
Pareto iliyowahi kutamba kuanzia miaka ya 1960 na kuanza kupotea nchini katika miaka ya 1990.Baada ya kiwanda cha pareto cha wilayani hapo kubinafsishwa, kilianza kuwahamasisha wakulima kulima zao...

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka.

19Jan 2018
Happy Severine
Nipashe
Kuanzishwa kwa chama hicho kunatajwa kuwa neema kwa wakulima wa mkoa huu ambao walikuwa wanachama wa vyama vya SHIRECU na NYANZA ambavyo havifanyi kazi hivyo kushindwa kuwanufaisha kama awali....
19Jan 2018
Romana Mallya
Nipashe
Wamefikia hatua  hiyo baada ya kutofikia mwafaka katika kikao kilichofanyika jana  jijini Dar es Salaam kati yao  na maofisa kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa  Usafiri...
19Jan 2018
Ibrahim Yassin
Nipashe
Kiasi hicho cha fedha pia kitaelekezwa katika sekta za elimu na afya.Akiwasilisha bajeti hiyo mbele ya wajumbe wa kikao hicho juzi, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela, Mussa Mgatta...

Pages