NIPASHE

17Jan 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Sheria hiyo mpya itafuta sheria iliyopo (No 5) ya mwaka 1992, na tayari mapendekezo ya sheria mpya yamepingwa na vyama hivyo vikisema hayakuwa na lengo jema kwao. Pendekezo jipya linaloonekana...
17Jan 2018
Raphael Kibiriti
Nipashe
Na kwa hali hiyo, si kupotoka nikisema kwamba idadi kubwa ya Watanzania walio wengi nchini ni wakulima.Hii ni kwa sababu, kilimo ndiyo shughuli ya kiuchumi inayotegemewa na wananchi wengi wanaoishi...
17Jan 2018
Mhariri
Nipashe
Jitihada hizo licha ya kuwa na nia njema ya kuhakikisha kwamba matukio ya ajali yanapungua kama siyo kumalizwa kabisa, zimekuwa kiziwachukiza baadhi ya watu.Wachache ambao wamekuwa wakilalamikia...

Rais wa Sudan, Omar al-Bashir. PICHA: MTANDAO

17Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wiki iliyopita, Sudan ilionya rasmi juu ya vitisho katika mpaka wake wa Mashariki kutoka kwa vikosi vya Misri na Eritrea, ambapo Misri pia imejiingiza katika mgogoro wa pembe tatu wa eneo...

Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko.

17Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Aliyetoa mtihani huo jana ni Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko, , wakati wa ziara yake Makao Makuu ya shirika hilo kwa lengo la kufahamiana na bodi, menejimenti pamoja na watumishi wa shirika....

Viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).PICHA: MTANDAO

17Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
 Uchaguzi huu mdogo ulikosa ladha ya ushindani kwa kuwa vyama vikuu vya upinzani havikushiriki.Ikumbukwe kuwa mwishoni mwa mwaka jana Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na Katibu Mkuu wa...

Katibu Mkuu wa Yanga, Boniface Mkwasa.

17Jan 2018
Faustine Feliciane
Nipashe
Ikumbukwe tayari Yanga inaudhaminiwa wa Kampuni ya Kubashiri Matokeo Michezo ya SportPesa, lakini sasa imelamba udhamini mpya kutoka Kampuni Vifaa vya Michezo ya Macron wenye thamani ya Sh. bilioni...

mkuu wa wilaya ali Hapi akizungumza mbele ya wananchi alipotembelea maeneo korofi ambayo chemba za maji taka hufumuka mara kwa mara eneo la Mwenge jijini Dar es Salaam.

16Jan 2018
Frank Monyo
Nipashe
Akizungumza wakati wa ziara yakukagua maeneo yenye changamoto za majitaka na mradi wa uboreshaji wa huduma za maji taka ili kujionea hatua iliyofikiwa na DAWASA katika kutekeleza miradi hiyo Mhe....
16Jan 2018
Frank Monyo
Nipashe
Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi wa Ufundi wa DAWASA, Modester Mushi wakati akitoa taarifa ya ujenzi wa mitambo hiyo kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinodnoni jijini Dar es Salaam, Ali Hapi, wakati...

Kamanda Polisi wa Mkoa wa Arusha, Naibu Kamishna (DCP) Charles Mkumbo.

16Jan 2018
Rashid Nchimbi, Jeshi la Polisi Arusha
Nipashe
Yakusanya bilioni 3.8 kutokana na faini za makosa ya barabarani
Ambapo kulikuwa na matukio 2,817 wakati  mwaka 2017 kulikuwa na matukio 1,963 ikiwa ni upungufu ya matukio 854, huku matukio ya uvunjaji yakipungua toka 604 hadi 294 ikiwa ni zaidi ya mara mbili...
16Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Aidha, jeshi hilo limesema jambazi mmoja ambaye alikuwa akiteka watu minadani ameuawa baada ya mapambano na polisi.Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Augustino Senga aliwaambia waandishi wa habari...

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Binilith Mahenge.

16Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Dk. Mahenge alikuwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya elimu na kilimo katika wilaya hiyo ambapo baada ya kusomewa taarifa na Mkuu wa Wilaya hiyo, Sezaria Makota, alipelekwa kuangalia vitalu vya...

MSTAHIKI Meya wa Manispaa ya Dodoma, Prof. Davis Mwamfupe.

16Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Meya huyo alitoa tahadhari hiyo wakati akizungumza katika mkutano na madiwani wa Manispaa ya Dodoma jana, kujadili umuhimu wa watu wenye ulemavu kujumuishwa katika mipango ya maendeleo na bajeti za...

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi na Mratibu wa CHADEMA Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga wakipelekwa mahabusu.

16Jan 2018
Gerald Kitalima
Nipashe
amanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Mohammed Mpinga akiongea na www.eatv.tv amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa Mbunge huyo leo alipelekwa mahakamani kwa kosa hilo na mahakama imemnyima...
16Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na Nipashe, Kheir alisema kuwa baadhi ya wanajamii wamejenga dhana kuwa ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali imekuwa ikibadilisha matokeo baada ya kufanya uchunguzi jambo ambalo sio sahihi....

Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe.

16Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mkutano huo ulipangwa kufanyika leo Januari 16, 2018.  Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na OCD inasema kuwa Zitto hakufuata utaratibu wa kutoa taarifa ndani ya masaa 48 kabla ya kufanyika...

waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwigaje.

16Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mwenyekiti wa jukwaa hilo, Abdallah Mohammed juzi alisema kuwa mkakati wao kwa sasa ni kujenga vitega uchumi vitakavyoongeza ajira kwa vijana ili kupunguza utegemezi.Mohammed alikuwa akizungumza...

waziri wa afya, ummy mwalimu.

16Jan 2018
Godfrey Mushi
Nipashe
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Valerian Juwal alisema kiwango hicho kimeifanya wilaya ya Siha kuwa miongoni mwa halmashauri zilizofanya vizuri katika usimamiaji wa zoezi zima la utoaji...

igp simion sirro.

16Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Tuliona kinachohitajika kwa dereva anayetaka kuomba kubadilisha leseni kwa kubadili daraja moja kwenda lingine.Kwamba Mwombaji anayetaka kubadili daraja moja kwenda daraja lingine atatakiwa kuwa na;...

Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Faustine Ndungulile.

16Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Faustine Ndungulile, aliyasema hayo alipotembelea Kituo cha Afya Nkomolo,  Nkasi mkoani Rukwa, ikiwa ni mwendelezo wa ziara...

Pages