NIPASHE

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas.

16Mar 2016
John Ngunge
Nipashe
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas, alisema ofisini kwake jana kuwa bunduki hiyo iliporwa katika kituo cha afya cha Tumaini, Februari 25, mwaka huu. Alisema katika tukio la...

Rais John Magufuli akizungumza na wakuu wa Mikoa baada ya kuwaapisha.

16Mar 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Aagiza Ma-RC kukamata wacheza pool, wazururaji na kuwasweka ndani saa 48, wapelekwe makambini kulima, * Wanasheria, wanaharakati na wasomi wampinga
Kadhalika, amewapa pole wakuu hao wa mikoa kwa kuteuliwa kwao kwa kuwa wana kazi kubwa ya kufanya katika mikoa yao, kwa kukuzingatia maagizo aliyowapa. “Kwa bahati mbaya sikuwauliza kama mnataka...

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

16Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Majaliwa alitoa agizo hilo juzi alipohutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mashujaa wa Mayunga, mjini Bukoba. Alifikia hatua hiyo baada ya wananchi...

Askofu Dk. Valentino Mokiwa.

16Mar 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Alisema viongozi wa dini wanatakiwa kusema ukweli na walitakiwa kuhoji ni kwanini Zec ilifuta matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka jana, lakini jambo hilo halikufanyika, badala yake...

Mbunge wa Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro, James Mbatia (NCCR-Mageuzi).

16Mar 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Jana, Jaji Lugano Mwandambo anayesikiliza kesi hiyo, alitoa amri kwa mlalamikaji katika kesi hiyo, Augustine Mrema, awe amewasilisha mahakamani hapo hati za viapo vya mashahidi wake 25 kabla ya Machi...

Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Farida Mgomi.

16Mar 2016
Nipashe
Pia amesema watendaji wasiowajibika na kwenda na kasi ya serikali ya awamu ya tano, atahakikisha anawaondoa na kuwavua nyadhifa zao wale wote watakaobainika kushindwa kutimiza wajibu wao....

Rais John Magufuli akimuapisha Meja Jenerali Mstaafu Salum Mustafa Kijuu kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera.

16Mar 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Hilo ni moja ya maagizo matano aliyowapa wakuu hao wa mikoa 25 aliowaapisha Ikulu jijini Dar es Salaam jana. Hata hivyo, Mkuu wa Mko wa Songwe, Luteni mstaafu Chiku Gallawa, hakuwapo katika hafla...
15Mar 2016
Leonce Zimbandu
Nipashe
Dk Slaa alijiuzulu kutokana na kile alichoeleza kuwa ni utaratibu kutofuatwa wa kumkaribisha Edward Lowassa, aliyehamia katika chama hicho kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ingawa kuteuliwa kwake...
15Mar 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Sentensi hiyo ina makosa matatu. Kwanza ni neno ‘gushi’ lisilo la Kiswahili; pili kushindwa kuchanganua wakati uliopita na ulipo; tatu ni ‘kesi imeshindwa kusomwa.’ Badala ya ‘gushi’ neno sahihi...
15Mar 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Ni maonyesho ya wiki mbili ya sanaa ya kuchora, ufinyanzi na kuchonga yaliyosimamiwa na wanawake kama sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani mwezi Machi 8, kila mwaka. Maonyesho hayo...

Mwenyekiti wa Kijiji cha Mbola wilaya ya Uyui mkoani Tabora, Aloyce Zacharia

15Mar 2016
Gaudensia Mngumi
Nipashe
Mtendaji wa Kijiji cha Mbola wilayani Uyui, Mkoa wa Tabora, Aloyce Zacharia, anasema kukosekana maji, mabweni, chakula au migahawa shuleni kunawakwamisha wasichana masomoni. Anayaeleza hayo wakati...

Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha St. Joseph wakisikiliza Waziri wa Elimu, Profesa Joyce Ndalichako (hayupo pichani)

15Mar 2016
Mary Geofrey
Nipashe
na Chuo Kikuu Kishiriki cha Teknolojia ya Habari tawi la Songea na Arusha, vinavyoendeshwa na Chuo Kikuu cha St. Joseph. Ni uamuzi uliofikiwa na TCU, baada ya kukiuka taratibu za uendeshaji....
15Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Katika hali ya kawaida, inaangukia katika namna nyingi, ikiwemo kwenye uhusiano wa ama kijinsia au kindugu. Ili kufanikisha mapenzi ya kweli, wanasaikolojia wamebaini mitazamo tisa inayopaswa...

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), Charles Msonde (kushoto), akitangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita.

15Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Takwimu zinaonyesha kati ya watahiniwa takriban 433,000 waliofanya mtihani huo, ni watahiniwa 89,929 ambao ni sawa na asilimia 25 tu ndio waliofaulu kwa kupata daraja la kwanza hadi la tatu, wakati...
15Mar 2016
Restuta James
Nipashe
Hawa wanakuwa wamesomea mawasiliano au mahusiano ya umma na wanajua namna bora ya kulinda taswira ya ofisi wanayoitumikia. Ndiyo kazi waliyoajiriwa kuifanya. Cha kushangaza ni kwamba maofisa hawa...
15Mar 2016
Mhariri
Nipashe
Juzi, Rais Magufuli aliwateua wakuu wa mikoa 26, kati yao 10 ni wapya huku akiwaacha kadhaa na baadhi yao kuhamishiwa katika vituo vipya vya kazi. Tunawapongeza wote walioteuliwa kwa kuwa...
15Mar 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Wiki iliyopita Tanzania ilimepokea ugeni mzito kutoka bara la Asia, wa ziara ya Rais wa Vietnam akiongozana na mawaziri wake watano wa fedha na utawala, pamoja na wafanyabiashara 51. Hakika...
15Mar 2016
Idda Mushi
Nipashe
Mifugo hiyo iliyokuwa ikishikiliwa kwa takribani siku tano na Uongozi wa Halmashauri ya wilaya ya Mvomero,ililipiwa fidia hiyo kwa mujibu wa sheria,ikiwa ni utekelezaji wa sheria ndogo za halmashauti...
15Mar 2016
Steven William
Nipashe
Mafunzo hayo yanatolewa na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi yani (Veta) Kanda ya Kaskazini katika kijiji cha Elerai kata ya Kibirashi wilayani Kilindi. Akizungumza kuhusu mafunzo hayo,...

MAJENGO YA HOSPITALI YA BOMBO

15Mar 2016
Lulu George
Nipashe
Abiria hao, ambao walifikishwa kwenye chumba hicho saa 5.30 asubuhi, wakidhaniwa ni marehemu, walipokelewa kama maiti na ghafla wakati wakitaka kuingizwa kwenye majokofu, waliposhuka kwenye machela...

Pages