Tuesday Aug 4, 2015
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Yanga, Azam Rekebisheni Kasoro Kombe La Kagame Kuelekea Caf.

Michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati maarufu kama Kombe la Kagame, imemalizika rasmi jana kwa timu ya Azam FC ya Tanzania Bara kutwaa ubingwa kwa kuifunga Gor Mahia ya Kenya mabao 2-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Hofu ya Dk. Slaa. Je, unahofu pia?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MAISHA NDIVYO YALIVYO: Nikimhitaji danadana, akinihitaji ananipata, nifanyeje?
ACHA NIPAYUKE: Chadema ijidhatiti kuyahimili `mafuriko` ya Lowassa
MTAZAMO YAKINIFU: Mwelekeo wa CCM na utabiri wa Nyerere
Rais Jakaya Kikwete, akizungumza na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadik baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jumamosi iliyopita. (PICHA NA IKULU).

Mawaziri hoi.

Baadhi ya vigogo wakiwamo mawaziri, wabunge  wameangushwa katika kura za maoni za kutafuta wagombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Habari Kamili

Biashara »

Balozi Sefue-Mfumo Wa Soko La Bidhaa Utainua Sekta Ya Kilimo.

Serikali imesema mfumo wa soko la bidhaa unaotarajiwa kuanza hapa nchini hivi karibuni, utasaidia kwa kiwango kikubwa kutatua changamoto za masoko kwa wakulima Habari Kamili

Michezo »

Azam Heshima.

Azam FC imejenga heshima Afrika Mashariki na Kati baada ya kudhihirisha ni timu bora kwa sasa kufuatia jana kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 katika mechi yao dhidi ya timu isiyofungika ya Gor Mahia na kutwaa kwa mara ya kwanza Kombe la Kagame Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»