Wednesday May 6, 2015
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Serikali Ijifunze Kwa Mgomo Huu.

Hatimaye jana mchana madereva wa mabasi walioanza mgomo juzi na kusababisha adha kubwa ya usafiri nchi nzima, walimaliza mgomo wao baada ya serikali kukubaliana nao kwa maandishi jinsi ya kutatua malalamiko yao ambayo waliyatoa tangu mwezi uliopita walipofanya mgomo kwa saa kadhaa Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Migomo! Je, mazungumzo yameshindikana?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Tusilalamikie ugaidi, tuwalinde vijana na watoto
MTAZAMO YAKINIFU: Katiba Mpya: Wapiga kura wanapoishi katika ndoto
MAISHA NDIVYO YALIVYO: `Nilimpenda mke huyu ila michepuko yake ilinichosha`!
Mabasi yakiwa yanaanza safari zake katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani Ubungo jijini Dar es Salaam jana baada ya kumaliza kwa mgomo wa madereva uliodumu kwa siku mbili nchi nzima. Picha: Halima Kambi.

Chadema yaanza mbio Uchaguzi mkuu rasmi.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetoa ratiba kwa wanachama wake wanaotaka kugombea udiwani, ubunge na urais kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba, 2015 kujitokeza kuchukua fomu Habari Kamili

Biashara »

Mfumuko Wa Bei Waendelea Kupaa.

Mfumuko wa bei wa taifa kwa kipimo cha mwaka kwa mwezi uliopita, umeongezeka hadi asilimia 4.3 kutoka asilimia 4.2 mwaka huu.   Mfumuko huo ambao unapima kuwango cha badiliko la kasi ya bei za bidhaa na huduma zinazotumiwa na kaya binafsi, umesababishwa na kupanda kwa bei za bidhaa za vyakula kama vile mchele, unga wa muhogo, nyama, samaki, maharage, choroko na sukari Habari Kamili

Michezo »

Yanga: Tutaifunga Azam FC Kunogesha Ubingwa.

 Uongozi wa Yanga umesema hauna mpango wa kuibeba Simba wala Azam katika mechi yao ya leo dhidi ya Wanalambalamba hao, lakini umepanga kuibuka na ushinda ili kunogesha sherehe za ubingwa wao Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»