Wednesday Sep 2, 2015
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Wagombea Wasinadiwe Katika Nyumba Za Ibada.

Zikiwa zimesalia siku 53 Watanzania kupiga kura kuchagua viongozi wao watakaowaongoza kwa miaka mitano ijayo, viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini wamepewa angalizo kutowanadi wagombea katika nyumba za ibada Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Uchaguzi Mkuu 2015. Je, Sera za vyama unazielewa vyema?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Tamasha la Jinsia: Ukatili wa kinjisia tatizo kubwa.
MAISHA NDIVYO YALIVYO: Mdada wa kazi aongea na `mzimu wa babu` live!
MTAZAMO YAKINIFU: Amani iwe ngao kwa kampeni 2015
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwasili kwenye Uwanja wa Polisi Makambako, Mkoani Mkoani Njombe jana na kulakiwa na umati kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni. (PICHA: MPIGA PICHA WETU)

Uzinduzi Ukawa wamtikisa Sitta.

Hoja zilizotolewa na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wakati wa kuzindua kampeni za mgombea wake wa urais kupitia Chama cha Demokrasia (Chadema), Edward Lowassa Jumamosi iliyopita, zimemtisha na kumuibua Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta Habari Kamili

Biashara »

Watanzania Dhamana Za Uwekezaji Zinalipa.

Utamaduni wa kuhifadhi fedha benki na taasisi zingine za kifedha, unaongezeka taratibu kwa watanzania siku hadi siku.   Hii inafanyika kwa ajili ya usalama wa fedha zao na kupata faida inayotokana na riba toka  taasisi za kifedha Habari Kamili

Michezo »

Msenegal N'daw Miaka Miwili Simba.

Klabu ya soka ya Simba juzi usiku ilikamilisha usajili wa wachezaji wake wa kigeni kwa kumpa mkataba wa miaka miwili mshambuliaji mpya, Pape Aboulaye N’daw, kutoka Senegal baada ya kufuzu majaribio Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»