Thursday Jun 20, 2013
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Serikali Sasa Isikilize Hoja Hizi Za Wabunge Kuhusu Bajeti Ya 2013/14

Jumatatu ijayo wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania watapitisha bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha wa 2013/14 iliyowasilishwa bungeni wiki iliyopita Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Rasimu mpya ya Katiba. Je, unaunga mkono mfumo wa serikali tatu?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Mtazamo wa baadhi ya serikali za Afrika
MAISHA NDIVYO YALIVYO: Mume anaenda masomoni anarudi umebeba mimba ya mwezi na nusu!
TUKUBALIANE KUTOKUKUBALIANA: Hii siyo Katiba, tusiwapotoshe Watanzania!
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Frasser Kashai, akionyesha bunduki na risasi zilizokamatwa na jeshi hilo katika msako maalum wilayani Kibondo.

Lissu, Arfi, Akoonay, Mukya huru

Wabunge wanne wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waliokuwa wakishikiliwa na Jeshi la Polisi wameachiwa kwa dhamana baada ya kujidhamini wenyewe, huku idadi ya vifo vya watu waliouawa katika mlipuko wa bomu katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani za chama hicho, mkoani Arusha ikiongezeka kutoka watatu hadi wanne Habari Kamili

Biashara »

Mikopo Ya JK Yatumika Kuongeza Wake Zanzibar

Mfuko wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete wa kusaidia wafanyabiashara wadogo na wajasiriamali umeshindwa kuleta tija Zanzibar, baada ya baadhi ya watu waliopata mikopo hiyo kutumia fedha hizo kuongeza wake Habari Kamili

Michezo »

Kiiza Tatizo Mshahara - Yanga

Wakati hadi jana mshambuliaji wa Yanga na timu ya taifa ya Uganda (The Cranes), Hamis Kiiza akisema kuwa kiasi cha mwisho cha fedha ambacho kitamfanya asaini mkataba mpya wa kuwachezea mabingwa hao wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara ni dola za Marekani 45,000 (Sh Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»