Wednesday May 22, 2013
| Text Size
[-]
[+]
Search IPPmedia

Maoni Katiba

28th June 2012
Print
Comments

Watanzania wametakiwa kushiriki vyema katika mchakato wa kupata katiba mpya yenye kuheshimu na kuzingatia haki za binadamu ili kuweza kulinda malahi yao na Taifa kwa ujumla.

Akizungumza na Waandishi wa habari katika uzinduzi wa vitabu vyake viwili jana jijini Dar es Salaam, mwandishi wa vitabu, Dk. Godfrey Swai, alisema kila mwananchi ana haki ya kutoa maoni, fikra, taarifa au mapendekezo kwenye mchakato wa Katiba.

Aliongeza kuwa Katiba mpya ni lazima iandike hoja za msingi ili kulinda maslahi ya wananchi.


 

SOURCE: NIPASHE
0 Comments | Be the first to comment