Wednesday Apr 1, 2015
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Matarajio Ya Wananchi Ni Kuona Nauli Inashuka.

Jana, baadhi ya vyombo vya habari vilimnukuu Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta, akiiagiza Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), kuhakikisha kwamba inautangazia umma nauli mpya ifikapo mwishoni mwa wiki hii Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Lowassa, Slaa waongoza urais. Je wanaoonekana kuwania uraisi waungwe mkono?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Mvua inapoliondoa 'tope la serikali' barabarani!
NYUMA YA PAZIA: Kila mwenye kuhitaji pumzi hii sasa apige yowe
MTAZAMO YAKINIFU: Misitu ya mikoko imewakosea nini baadhi ya vigogo.
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, akisaidiwa kusukumwa katika baiskeli ya miguu mitatu alipowasili katika Kituo cha Polisi cha Osterbay, jijini Dar es Salaam jana baada ya kutoka hospitali alikokuwa amelazwa ili kumalizia mahojiano na Jeshi la Polisi. PICHA: HALIMA KAMBI

Muswada Mahakama ya Kadhi waondolewa.

Muswada wa Mahakama ya Kadhi umeondolewa bungeni na sasa hautajadiliwa katika Mkutano wa 19 wa Bunge unaohitimishwa leo mjini hapa.   Huu ni muswada wa tatu kuondolewa Bungeni baada ya ile miwili ya sekta ya habari ambayo ni muswada wa Sheria ya kupata Taarifa wa mwaka 2015 na ule wa sheria ya huduma wa Vyombo vya Habari iliyoondelewa mwishoni mwa wiki iliyopita Habari Kamili

Biashara »

Moruwasa Kupanua Mtambo Wa Bwawa La Mindu Kwa Bilioni 35/-

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Manispaa ya Morogoro (Moruwasa), inakusudia kutumia zaidi ya Sh. bilioni 35 kupanua mtambo wa maji na bwawa la Mindu ili kuongeza usambazaji wa maji katika manispaa hiyo Habari Kamili

Michezo »

TFF Yaipoka Simba Pointi 6 Za Ajibu.

Kilio kilio Msimbazi! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuipoka Simba pointi 6 kutokana na kumchezesha mshambuliaji wake Ibrahim Ajibu dhidi ya Yanga na Tanzania Prisons kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Februari 28 ilhali alikuwa na kadi tatu za njano Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»