Saturday Dec 20, 2014
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Hongera Azam Kuwa Wasikivu

Mabingwa wa Bara kwa mara ya kwanza Azam wanarudi nyumbani keshokutwa kwa ndege, baada ya kumaliza ziara ya Uganda ya michezo ya kirafiki kwa ajili ya maandalizi ya muendelezo wa ligi kuu ya Bara Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Je, Watanzania tumejizatiti kukomesha wizi wa mali za umma?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Matokeo haya `yaifumbue macho`CCM
NYUMA YA PAZIA: Hujuma dhidi ya uchaguzi hazijibu shida za wananchi
MTAZAMO YAKINIFU: Wanyonge wanapolishwa kauli na wenye nguvu
Mwenyekiti wa IPP, Dk. Reginald Mengi, akifurahia jambo na balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Ali Davutoglu, (Katikati) na mkewe, Yesim Mego Davutoglu, wakati balozi na mkewe walipomuonyesha Dk. Mengi, mchoro wa kijiji cha kisasa cha kutunza watu wenye ulemavu wa ngozi, (Albinism), kitakachojengwa barabara ya Bagamoyo hivi karibuni. Kijiji hicho kitakuwa na eneo la ukubwa wa Mita za mraba 35,000. Balozi huyo na mkewe walikuwa kwenye mazungumzo na Dk. Mengi makao makuu ya IPP, jijini Dar es Salaam jana.

Mke wa Balozi kujenga kijiji cha wenye ulemavu wa ngozi

Mke wa Balozi wa Uturuki nchini, Yesum Davutoglu, anatarajia kuanzisha mradi wa ujenzi wa kijiji maalumu cha watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) mwakani, kwa lengo la kupambana na vitendo vya ukatili na mauaji ya albino Habari Kamili

Biashara »

Kampuni Ya Uchimbaji Barrick Yabadili Jina

Kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia,  imehamishia makao yake makuu  nchini kutoka Afrika Kusini. Hayo yalisemwa jana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo ambayo zamani ilikuwa ikijulikana kama African Barrick Gold (ABG), Brad Gordon wakati akitambulisha jina hilo jipya la Acacia kwa  viongozi wa wilaya na vijiji  vilivyopo  Kahama na Nyang’whale mkoani Shinyanga katika mkutano uliofanyika kwenye mgodi wa Bulyanhulu wilayani Kahama Habari Kamili

Michezo »

Simba Kuipania Kagera Zanzibar

Simba itaondoka jijini kesho kwenda Zanzibar kuweka kambi ya maandalizi ya ligi kuu ya Bara iliyopangwa kuendelea tena Ijumaa. Akizungumza na NIPASHE jana, kocha mkuu wa Simba Patrick Phiri (pichani),  alisema wameamua kwenda Zanzibar kuweka kambi kabla ya mchezo dhidi ya Kagera Sugar Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»