Monday May 20, 2013
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Lugola Awataje Vigogo Wa Kuuza Madawa Ya Kulevya

 Kwa kipindi kirefu kumekuwapo na madai ya kuwa baadhi ya viongozi wamekuwa vinara wa biashara ya madawa ya kulevya. Wananchi katika ngazi mbalimbali wamekuwa wakisubiri kusikia tuhuma hizo ambazo wiki hii serikali imetakiwa kueleza hatua zilizochukuliwa dhidi yao ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Je, madai ya Mbunge kuwa serikali inatumbua sana ni ya kweli?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MAISHA NDIVYO YALIVYO: Kwanini wanawake wahonge wanaume?
TUKUBALIANE KUTOKUKUBALIANA: Amani inapodumu mitaani, milipuko misikitini, makanisani!
ACHA NIPAYUKE: Majibu ya Maghembe kwa `Acha Nipayuke`!
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akimpongeza Askofu Mkuu mpya wa kanisa la Anglikana nchini, Dkt. Jacob Erasto Chimeledya wakati wa ibada ya kutawazwa kwake mjini Dodoma jana.

UCHIMBAJI GESI ASILIA: Wabunge wacharuka

  Wabunge waipasha serikali kuacha papara ya kuingia kwenye mikataba ya uchimbaji gesi asilia, kwani itaipeleka nchi pabaya na kuiingiza kwenye hasara kama ilivyotokea kwenye mikataba tata ya madini Habari Kamili

Biashara »

Mnyika:Sera Ya Mafuta Na Gesi Iandaliwe Kwanza

Serikali imeshauriwa kuandaa  sera ya mafuta na gesi kabla ya kuandaa  sera ya sekta ndogo ya gesi ili kuilinda rasilimali hiyo iweze kuwanufaisha Watanzania Habari Kamili

Michezo »

Yanga Yakata Ngebe Simba Refa Akitolewa Damu

Yanga jana ilianzisha sherehe za ubingwa wake wa 23 wa ligi kuu ya Bara kwa kishindo baada ya kuwafunga mahasimu Simba 2-0 kwenye Uwanja wa Taifa, katika mchezo ambao mpishi wa mabao hayo alikuwa na bahati kuwa uwanjani kuyatengeneza na mwamuzi Martin Saanya kupasuliwa usoni kwa ngumi ya mchezaji na kutibiwa uwanjani akiwa amelala kwenye nyasi kwa dakika tano Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»