Mshambuliaji mpya wa mabingwa wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara, Mrisho Ngasa, juzi usiku alionekana kuwa kivutio wakati wachezaji wa timu ya Taifa (Taifa Stars) walipokuwa wakijitambulisha mbele ya wajumbe wa Kamati ya Operesheni Ushindi ya timu hiyo ya taifa walipowatembelea kambini na kuwajaza manoti
Habari Kamili