Wednesday Apr 23, 2014
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Wanaocharaza Bakora Kina Dada Geita Washughulikiwe

Miongoni  mwa habari zilizoripotiwa katika toleo la jana la gazeti hili ni taarifa ya kusikitisha juu ya kucharazwa bakora kwa kina dada wanaovaa nguo fupi katika baadhi ya mitaa ya mji wa Geita, mkoani Geita Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Ukawa wajiengua Bunge la Katiba. Je, tutapata katiba mpya?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Ninavyotamani kuiona Tanganyika!
MTAZAMO YAKINIFU: Wanaomuenzi Nyerere wasimame tuwahesabu
ACHA NIPAYUKE: Tuile kalamu, tuimbe haleluya
Mzee Thomas Sejeya (99), Mkazi wa Mbambala, akitafuta wateja wa ubuyu katika eneo la Uhindini badala ya kuwa ombaomba kama ilivyo kwa wazee wengine wa Mkoa wa Dodoma wenye umri kama wake.PICHA:IBRAHIM JOSEPH

Maalim Seif ashambuliwa

Utetezi wa muundo wa Muungano wa serikali mbili katika mjadala wa katiba jana ulichukua sura mpya kwa kuelekeza mashambulizi mengi dhidi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif  Hamad kuwa ni mtu kigeugeua sawa na kinyonga Habari Kamili

Biashara »

EABC Yapata Uongozi Mpya

Baraza  la Biashara la Afrika Mashariki (EABC), limepata uongozi mpya huku likiwa na mikakati kabambe ya kukabiliana na vikwazo vya kibiashara kwa nchi tano zinazoingiliana kibiashara Habari Kamili

Michezo »

Samata,Ulimwengu Kuikosa Burundi

Wachezaji  wawili wa kimataifa, Mbwana Samata, na Thomas Ulimwengu, wanaoichezea Klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo hawatakuja nchini kuivaa Burundi katika mechi ya kirafiki dhidi ya wenyeji Taifa Stars itakayopigwa Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, imefahamika Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»