Thursday Apr 2, 2015
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Mauaji Dhidi Ya Polisi Wetu Yatafutiwe Dawa.

Katika toleo letu la jana ukurasa wa mbele, kuna habari ya kusikitisha inayoelezea askari wawili kuuawa baada ya majambazi kuwavamia wakati wakiwa kazini kwenye eneo la Kipara Mpakani, kijiji kinachozigawa Wilaya za Temeke jijini Dar es Salaam na Mkuranga mkoani Pwani Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Lowassa, Slaa waongoza urais. Je wanaoonekana kuwania uraisi waungwe mkono?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Mvua inapoliondoa 'tope la serikali' barabarani!
NYUMA YA PAZIA: Kila mwenye kuhitaji pumzi hii sasa apige yowe
MTAZAMO YAKINIFU: Misitu ya mikoko imewakosea nini baadhi ya vigogo.
Wabunge wa Kambi ya Upinzani wakijadiliana baada ya Bunge kuahirishwa ghafla na Spika mjini Dodoma jana kufuatia mabishano makali juu ya hatma ya Kura ya Maoni ya Katiba Inayopendekezwa. PICHA: SELEMANI MPOCHI

Kura ya maoni katiba yawasha moto bungeni.

Vurugu zimeibuka bungeni na kusababisha Spika wa Bunge, Anne Makinda, kulazimika kuahirisha Bunge kwa muda baada ya wabunge wa upinzani kuibana serikali kuitaka itoe majibu kama kazi ya uandikishaji wapiga kura itakamilika na kuruhusu kufanyika kura ya maoni ya Katiba inayopendekezwa Aprili 30, mwaka huu Habari Kamili

Biashara »

Moruwasa Kupanua Mtambo Wa Bwawa La Mindu Kwa Bilioni 35/-

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Manispaa ya Morogoro (Moruwasa), inakusudia kutumia zaidi ya Sh. bilioni 35 kupanua mtambo wa maji na bwawa la Mindu ili kuongeza usambazaji wa maji katika manispaa hiyo Habari Kamili

Michezo »

Simba Yanukia Utamu.

Klabu ya soka ya Simba ya jijini Dar es Salaam imeingia mkataba na kampuni ya masoko ya EAG Group ambayo itasaidia kuwatangaza, kutafuta udhamini, masoko na kutafuta fedha kutoka vyanzo mbalimbali kwa ajili ya kuiendeleza klabu hiyo iliyoanzishwa mwaka 1936 Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»