Tuesday May 26, 2015
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Juhudi Zaidi Ziongezwe Kukabili Vifo Vya Wajawazito Na Watoto.

Katika toleo letu la jana ukurasa wa 22, kulikuwa na habari yenye kichwa cha habari `Vifo vya wajawazito, watoto vyapungua nchini.'   Habari hiyo ilieleza kuwa vifo vya wajawazito na watoto chini ya umri wa miaka mitano, vimepungua nchini kutokana na  wauguzi na wakunga kupatiwa elimu ya kukabiliana na tatizo hilo katika mikoa mbalimbali Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Tume: Polisi ni waonevu. Je, kuna hatua dhahiri za kurekebisha hali?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MAISHA NDIVYO YALIVYO: HASIRA: Zimwi linalotesa familia nyingi, tufanyeje?
ACHA NIPAYUKE: Bunge linapogeuzwa uwanja wa kampeni na mipasho!
NYUMA YA PAZIA: Woga wa maamuzi unaua Shilingi
Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Dk. Reginald Mengi, akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana. PICHA: HALIMA KAMBI

Niko tayari kupima afya - Lowassa.

Waziri Mkuu wa zamani ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, amesema kuwa kumekuwa na tabia ya watu kuombeana mabaya na mojawapo ni kuzushiana magonjwa na amependekeza kuwa wakati umefika kwa Chama Cha Mapinuzi (CCM) kupima afya za wagombea wake wa urais ili kujua ukweli nani mgonjwa Habari Kamili

Biashara »

Mfumuko Wa Bei Waendelea Kupaa.

Mfumuko wa bei wa taifa kwa kipimo cha mwaka kwa mwezi uliopita, umeongezeka hadi asilimia 4.3 kutoka asilimia 4.2 mwaka huu.   Mfumuko huo ambao unapima kuwango cha badiliko la kasi ya bei za bidhaa na huduma zinazotumiwa na kaya binafsi, umesababishwa na kupanda kwa bei za bidhaa za vyakula kama vile mchele, unga wa muhogo, nyama, samaki, maharage, choroko na sukari Habari Kamili

Michezo »

Simba, Yanga Zanasa Vifaa Vipya Mbeya City

Klabu kongwe za soka nchini Simba na Yanga zote za jijini Dar es Salaam zimeendelea kuibomoa timu ya Mbeya City ya Mbeya baada ya jana Wekundu wa Msimbazi kufanikiwa kumsajili mshambuliaji wa timu hiyo, Peter Mwalyanzi, imefahamika Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»