Saturday May 25, 2013
| Text Size
[-]
[+]
Search IPPmedia

Kizimbani kwa wizi

28th June 2012
Print
Comments

Mfanyabiashara, Ajastina Kabume (23), amefikishwa katika mahakama ya Wilaya ya Ilala kwa kosa la wizi.

Mwendesha mashitaka mratibu wa Polisi, Denis Mujumba, alieleza mbele ya Hakimu, Karimu Mushi kuwa majira ya saa 12 maeneo ya Tabata Liwiti manispaa ya Ilala, mshitakiwa aliiba vitu vyenye thamani ya Sh. milioni 1,399400 mali ya Priscus Venanc.

Mshitakiwa amekana shtaka hilo na yuko nje kwa dhamana na kesi yake imeahilishwa hadi Julai 11, mwaka huu itakapotajwa tena.



 

SOURCE: NIPASHE
0 Comments | Be the first to comment