Sunday Aug 2, 2015
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Wiki Ya Nenda Kwa Usalama Barabarani Kesho Wanalo Jipya?

Kuanzia kesho hadi Agosti 8, mwaka huu, itakuwa ni Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani. Ni wiki ambayo itawashirikisha wadau mbalimbali likiwamo Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi kavu na Majini (Sumatra) na Shirika la Viwango Tanzania(TBS) Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Lowasa kwenda UKAWA. Je, Una maoni gani?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MAISHA NDIVYO YALIVYO: Nikimhitaji danadana, akinihitaji ananipata, nifanyeje?
ACHA NIPAYUKE: Chadema ijidhatiti kuyahimili `mafuriko` ya Lowassa
MTAZAMO YAKINIFU: Mwelekeo wa CCM na utabiri wa Nyerere
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Prof. Abdallah Safari (kushoto), akipokea fomu za uteuzi wa kugombea nafasi ya urais kutoka kwa Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowasa, wakati wa mgombea huyo aliporudisha fomu hizo Jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Katibu Mkuu Zanzibar, Salum Mwalim. (Picha: Halima Kambi)

Vigogo waanguka

Matokeo ya awali ya kura za maoni kwa wagombea udiwani na ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM katika uchaguzi uliofanywa jana katika baadhi ya kata yameanza kutangazwa huku baadhi ya vigogo wakiangushwa vibaya Habari Kamili

Biashara »

Balozi Sefue-Mfumo Wa Soko La Bidhaa Utainua Sekta Ya Kilimo.

Serikali imesema mfumo wa soko la bidhaa unaotarajiwa kuanza hapa nchini hivi karibuni, utasaidia kwa kiwango kikubwa kutatua changamoto za masoko kwa wakulima Habari Kamili

Michezo »

Yanga Yaitega Azam

Makocha wa Yanga, Hans van Pluijm na Charles Mkwasa wamesema dunia itakuwa mahala pa mateso kwao kama watashindwa kuiongoza timu hiyo kuifunga Azam katika mechi ya Ngao ya Jamii Agosti 22 Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»