Kumekuwepo na malalamiko ya kila wakati kutoka kwa wananchi yanayohusu utendaji na ufanisi wa Serikali kwa baadhi ya wizara ambazo huduma zake zina uhusiano wa moja kwa moja kwa wananchi, huduma ambazo mara nyingi zinahitajika katika maisha yao ya kila siku ikiwemo umeme, elimu, maji, chakula, usafiri pamoja na fedha
Habari Kamili