Wednesday Sep 2, 2015
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Watu Wasome Sheria Ya Mitandao Kuepuka Matatizo.

Sheria ya Makosa ya Mitandao ilianza kutumika nchini jana baada ya kupitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kusainiwa na Rais Jakaya Kikwete Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Uchaguzi Mkuu 2015. Je, Sera za vyama unazielewa vyema?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Sh. milioni 50 kila kijiji ni tungo tata.
MTAZAMO YAKINIFU: Tamasha la Jinsia: Ukatili wa kinjisia tatizo kubwa.
MAISHA NDIVYO YALIVYO: Mdada wa kazi aongea na `mzimu wa babu` live!
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wakati Rais huyo aliposimama kwa muda katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, jijini Dar es Salaam jana mchana na kisha kurejea nchini kwake. (Picha: Freddy Maro)

Dk. Slaa ajilipua.

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, ambaye alikuwa mafichoni kwa zaidi ya mwezi mmoja, jana aliibuka na kuzungumza mambo mbalimbali huku akitoa hutuma zisizo na ushahidi  dhidi ya watu kadhaa Habari Kamili

Biashara »

Watanzania Dhamana Za Uwekezaji Zinalipa.

Utamaduni wa kuhifadhi fedha benki na taasisi zingine za kifedha, unaongezeka taratibu kwa watanzania siku hadi siku.   Hii inafanyika kwa ajili ya usalama wa fedha zao na kupata faida inayotokana na riba toka  taasisi za kifedha Habari Kamili

Michezo »

Nigeria Waja Kesho, Samata Afunguka.

Wakati wapinzani wa Taifa Stars katika kuwania tiketi ya kufuzu kushiriki fainali zijazo za Mataifa ya Afrika (Afcon), Nigeria, watatua nchini kesho, straika wa Stars, Mbwana Samata, amewaambia Watanzania wasikate tamaa Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»