Wednesday Oct 7, 2015
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Wananchi Waelezwe Vipi Kilimo Kitawainua.

Tangu kuanza kwa kampeni Agosti 22, mwaka huu, tumewasikia wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi wakinadi sera zao na kutoa ahadi lukuki watakazotekeleza iwapo watachaguliwa Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Kingunge aitosa CCM. Nini maoni yako?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Rushwa imeshindikana nchini?
MAISHA NDIVYO YALIVYO: Dada wa kazi kulala chumba cha uani ni chambo wababa kuwanyatia!
MTAZAMO YAKINIFU: Lala salama, pumzika Celina Kombani
Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Ukawa, Edward Lowassa, akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Kwasakwasa, wilayani Same, mkoa wa Kilimanjaro jana. Picha: Mpigapicha Wetu

Tume ya Taifa Uchaguzi kufikishwa Takukuru.

Huhu zikiwa zimebaki siku 17 kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imepata pigo la aina yake baada ya kutajwa kuwa ni miongoni mwa taasisi tisa vinara zenye manunuzi yaliyojaa viashiria vya rushwa na hivyo kuwa mbioni kufikishwa kwenye Taasisi ya Kuchunguza na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kabla hatua zaidi hazijachukuliwa Habari Kamili

Biashara »

Copy Cat Yaanzisha Teknolojia Mkombozi Kwa Wafanyabiashara.

Kampuni ya Copy Cat imeanzisha teknolojia iitwayo Ricoh itakayowasaidia wafanyabiashara wakubwa na wadogo na kampuni nchini, kuokoa muda na gharama za matumizi kwa wakati husika, hatua inayolenga kuongeza ufanisi Habari Kamili

Michezo »

Mkwasa Kulamba Sh. 483M.

Hatimaye TFF imempa mkataba wa muda mrefu kocha Boniface Mkwasa kuinoa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) baada ya jana uongozi wa shirikisho hilo la soka nchini kutangaza kuingia naye mkataba wa miezi 18 Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»