Sunday May 26, 2013
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Kamati`imeroga`Taifa Stars

Kamati ya Operesheni Ushindi ya timu ya taifa ya soka ilitoa "hamasa" ya sh. milioni 30 kwa Taifa Stars katikati ya wiki, kwa ajili ya mechi ya Juni 8 ya michuano ya awali ya Kombe la Dunia dhidi ya Morocco Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Kujivua gamba, tegemeo la uhai wa CCM
MTAZAMO YAKINIFU: Kukamata makahaba tunatatua tatizo gani?
MAISHA NDIVYO YALIVYO: Kwanini wanawake wahonge wanaume?
Fadina Salum akiwa amelazwa katika hospitali ya rufaa ya Ligula mkoani Mtwara akiuguza majeraha ya risasi kufuatia fujo zilizozuka hivi karibuni.(Picha na Khalfan Said)

VURUGU MTWARA: Majeruhi walipigwa risasi

Wakati hali ya utulivu na amani ikielezwa kuwa imeanza kurejea katika mkoa wa Mtwara, imedaiwa kuwepo idadi kubwa ya majeruhi wa risasi waliolazwa katika hospitali ya mkoa wa Mtwara Habari Kamili

Biashara »

NBC Kuanzisha Huduma Za Mikopo Kwa Wafanyakazi

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kupitia kitengo chake cha huduma za kibenki zinazofuata kanuni za kifedha za Kiislamu inatarajia kuanzisha huduma ya mikopo kwa wafanyakazi (Islamic Group Finance)  kabla ya Septemba mwaka huu Habari Kamili

Michezo »

Niyonzi Maaianika Simba

Kiungo nyota wa mabingwa wapya wa soka nchini Yanga, Haruna Niyonzima, amesema Simba ilimshawishi kujiunga nayo kwa ajili ya msimu ujao wa ligi kuu ya Bara lakini akaitolea nje klabu hiyo Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»