Monday Jun 29, 2015
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Upendeleo Yanga Unaishusha Hadhi TFF.

 Yanga ndiyo klabu kongwe zaidi inayoshiriki ligi kuu nchini. Klabu hiyo ya Jangwani ilianzishwa 1935. Kutokana na ukubwa na umri wake, NIPASHE tulitarajia kuona klabu hiyo inakuwa mfano wa kuigwa na klabu nyingine changa, lakini imekuwa kinyume chake Habari Kamili

Kura ya Maoni»

'Dawa za mapenzi' zisiwe chanzo cha maambukizi mapya ya VVU.

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MAISHA NDIVYO YALIVYO: Anamwibia mume, anajenga kwao kisha anadai talaka!
ACHA NIPAYUKE: Kamukara kapumzike ulale salama!
MTAZAMO YAKINIFU: Nani 'atamkata' Edward Ngoyai Lowassa?
Rais Jakaya Kikwete (kulia), akipeana mkono na Wiseman Luvanda, mmoja wa wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari kutoka Mbeya kuelekea Dar es Salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais kwa uongozi bora Ikulu jijini Dar es Salaam jana. PICHA: IKULU

Lowassa awaburuza wenzake urais CCM.

Waziri Mkuu mstaafu, Monduli, Edward Lowassa ametajwa kuongoza katika kutaja vipaumbele vya maendeleo ikiwamo kupunguza tatizo la Ajira nchini na kuinua Elimu, miongoni mwa kundi la wanasiasa waliotangaza nia ya kuwania Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Habari Kamili

Michezo »

Simba Yalia Kuvurugwa Kesi Ya Singano.

Klabu ya soka ya Simba ya jijini Dar es Salaam imesema inaona inakorogwa kufuatia kutakiwa kupeleka vielelezo vya uthibitisho wa malipo ya kodi ya nyumba ambayo ilimpatia winga wake, Ramadhan Singano 'Messi', ambaye sasa ameishitaki kuhusiana na utata wa muda wa mkataba wake ndani ya klabu hiyo Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»