Wednesday Aug 5, 2015
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

CCM Ijitenge Na Uchafu Huu.

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinakaribia kukamilisha mchakato wa kura za maoni kwa ajili ya kupata wagombea wa nafasi ya ubunge na udiwani. Kura za maoni zilipigwa nchi nzima Jumamosi iliyopita, yaani Agosti mosi mwaka huu Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Hofu ya Dk. Slaa. Je, unahofu pia?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Mitandao ya Jamii na tuhuma za uzushi.
MAISHA NDIVYO YALIVYO: Nikimhitaji danadana, akinihitaji ananipata, nifanyeje?
ACHA NIPAYUKE: Chadema ijidhatiti kuyahimili `mafuriko` ya Lowassa
Rais Jakaya Kikwete, akikaribishwa na Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Mohamed Mpinga, baada ya kuwasili katika viwanja vya Tangamano mjini Tanga kuzindua rasmi maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani yenye kauli mbiu 'Endesha Salama Okoa Maisha. PICHA: IKULU.

Mbowe afunguka aliko Dokta Slaa.

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amevunja ukimya juu ya kinachomsibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Habari Kamili

Biashara »

Balozi Sefue-Mfumo Wa Soko La Bidhaa Utainua Sekta Ya Kilimo.

Serikali imesema mfumo wa soko la bidhaa unaotarajiwa kuanza hapa nchini hivi karibuni, utasaidia kwa kiwango kikubwa kutatua changamoto za masoko kwa wakulima Habari Kamili

Michezo »

Yanga Kuvuna Milioni 312/- Sauzi.

Mshambuliaji aliyekuwa amekosa uhakika wa namba katika Kikosi cha Yanga, Mliberia Kpah Sherman, amesaini mkataba wa miaka mitatu kwenye klabu ya Mpumalanga Black Aces ya Afrika Kusini Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»