Sunday Aug 30, 2015
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Bodi Ligi Kuu Bara Mufilisi Kifikra?

Ratiba ya Ligi Daraja la Kwanza (FDL) inaonyesha michuano hiyo itaanza Septemba 19 ikishirikisha timu 24 kutoka mikoa mbalimbali.   Ligi hiyo inayotarajiwa kumalizika Machi 12 mwakani, ina makundi matatu ya timu nane kwa kila fungu, kwa maana kila klabu itacheza mechi saba za nyumbani na saba za ugenini ili kupata washindi watatu ambao watapanda kucheza ligi kuu ya Bara mwaka 2016-2017 Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Gharika Dar mkutano wa CCM. Vyama vingine tutegemee nini?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Amani iwe ngao kwa kampeni 2015
MTAZAMO YAKINIFU: TGNP: Lugha ya 'wanawake hawapendani' ikomeshwe.
MAISHA NDIVYO YALIVYO: Binti anaweza kuunganishwa na mamake kwa `mashetani`
Mgombea urais kupitia CCM, John Magufuli akihutbia wananchi wa Mbeya katika viwanja vya Nzovwe kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika jana. PICHA:ADAM MZEE

Ukawa kufunika

Hatimaye Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), anatarajiwa kuzindua kampeni zake leo kwenye Viwanja vya Jangwani Habari Kamili

Biashara »

Watanzania Dhamana Za Uwekezaji Zinalipa.

Utamaduni wa kuhifadhi fedha benki na taasisi zingine za kifedha, unaongezeka taratibu kwa watanzania siku hadi siku.   Hii inafanyika kwa ajili ya usalama wa fedha zao na kupata faida inayotokana na riba toka  taasisi za kifedha Habari Kamili

Michezo »

Niyonzima 'Mafia' Yanga

Kiungo mpya wa Azam, Jean-Baptiste Mugiraneza 'Migi' amesema mchezaji mwenzake wa nafasi hiyo katika timu ya taifa ya Rwanda, Haruna Niyonzima alimshawishi kujiunga na Yanga badala ya mabingwa wapya wa Kombe la Kagame hao Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»