Wednesday May 6, 2015
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Serikali Ina Suluhu Ya Mgomo Wa Mabasi

Jana Taifa lilisimama kutokana na mgomo mkubwa wa madereva wa mabasi uliotikisa kila kona ya nchi wakishinikiza serikali kusikiliza kilio chao.   Kama ulivyokuwa mgomo wa awali wa mwezi ulipita ambao ulikwisha baada ya serikali kuingilia kati kwa kutoa kauli ya kuwekwa pembeni kwa masharti mapya ya kazi ya udereva, safari hii malalamiko yamekuwa ni yale yale, kutaka serikali iweke kwenye maandishi makubaliano kwamba madereva hawatashurutishwa kurudi darasani kila baada ya miaka mitatu wanapohuisha leseni zao Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Migomo! Je, mazungumzo yameshindikana?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Katiba Mpya: Wapiga kura wanapoishi katika ndoto
MAISHA NDIVYO YALIVYO: `Nilimpenda mke huyu ila michepuko yake ilinichosha`!
ACHA NIPAYUKE: Ninavyowatafakari Ukawa na safari ya mageuzi ya kisiasa!
Mabasi yafanyayo safari nje ya Mkoa wa Dar es Salaam na nchi jirani, yakiwa yameegeshwa katika Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo jijini Dar es Salaam jana kufuatia mgomo wa madereva unaoendelea nchini huku abiria wakiwa hawajui hatma ya safari zao. Picha zaidi Uk. 11. PICHA: HALIMA KAMBI

Nchi yasimama.

Mgomo wa madereva wa mabasi ulioitishwa nchini kote jana,  ulisimamisha shughuli nyingi za kibiashara na uchumi pamoja na kuleta kero na adha kubwa kwa abiria ambao katika maeneo ya mjini baadhi walilazimika kutembea kwa miguu kwenda kazini na shughuli nyingine Habari Kamili

Biashara »

Mfumuko Wa Bei Waendelea Kupaa.

Mfumuko wa bei wa taifa kwa kipimo cha mwaka kwa mwezi uliopita, umeongezeka hadi asilimia 4.3 kutoka asilimia 4.2 mwaka huu.   Mfumuko huo ambao unapima kuwango cha badiliko la kasi ya bei za bidhaa na huduma zinazotumiwa na kaya binafsi, umesababishwa na kupanda kwa bei za bidhaa za vyakula kama vile mchele, unga wa muhogo, nyama, samaki, maharage, choroko na sukari Habari Kamili

Michezo »

Yanga Kuibeba Simba Caf.

Siku moja baada ya kocha mkuu wa Simba, Mserbia Goran Kopunovic, kutangaza kuishangilia Yanga katika mechi ya kesho dhidi ya Azam FC, Yanga wametamba kujipoza uchungu wa kutolewa katika michuano ya kimataifa kwa kuwatwanga mabingwa hao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu uliopita Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»