Wednesday Nov 25, 2015
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Rais Magufuli Ateue Mawaziri Waadilifu Na Wachapakazi

Watanzania wanasubiri kwa hamu kuona Baraza la Mawaziri litakalotangazwa na Rais Dk. John Magufuli, ambaye wiki iliyopita alimteua Waziri Mkuu mpya, Majaliwa Kassim Majaliwa Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Bunge Jipya: Tutegemee nini?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Mhe. Spika: Maendeleo bila demokrasia?
MTAZAMO YAKINIFU: Tunapokuwa 'magwiji' wa kuwakejeli wastaafu!
MTAZAMO YAKINIFU: Kipindupindu kimepata makazi ya kudumu nchini?
Aliyekuwa mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, ambaye aliungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), akimpa pole mmoja wa wahanga wa machimbo ya Nyangalata, Gerald Msafiri, katika hospitali ya wilaya ya Kahama jana. Picha: Mohab Dominic

Tingatinga la Magufuli kuzoa vigogo taasisi 18

Kuna taarifa kuwa hofu kubwa imetanda juu ya hatma ya vigogo wa taasisi za umma takriban 18 zilizotajwa na Rais Dk. John Magufuli, kuwa zinalalamikiwa zaidi na wananchi kwa rushwa, ubadhirifu na utoaji wa huduma duni Habari Kamili

Biashara »

Copy Cat Yaanzisha Teknolojia Mkombozi Kwa Wafanyabiashara.

Kampuni ya Copy Cat imeanzisha teknolojia iitwayo Ricoh itakayowasaidia wafanyabiashara wakubwa na wadogo na kampuni nchini, kuokoa muda na gharama za matumizi kwa wakati husika, hatua inayolenga kuongeza ufanisi Habari Kamili

Michezo »

Kili Stars Mwendo Mdundo.

Kili Stars yenye kujiamini baada ya ushindi mnono dhidi ya Somalia, inashuka dimbani leo kusuguana na Rwanda  katika mechi ya kuwania Kombe la Chalenji Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»