Monday May 20, 2013
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Kuna Mengi Ya Kufanyiwa Kazi Ili Kuboresha Ligi Kuu Ya Bara

Ligi Kuu ya Tanzania Bara iliyoanza Septemba mwaka jana hatimaye ilifikia mwisho juzi ambapo klabu za Yanga na Azam zilipata tiketi ya kuliwakilisha taifa katika michuano ya Afrika baada ya kumaliza kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo Yanga waliotwaa ubingwa, watashiriki michuano ijayo ya Ligi ya Klabu Bingwa Afrika huku Azam waliokamata nafasi ya pili wakipata nafasi ya kushiriki kwa mara ya pili mfululizo michuano ya Kombe la Shirikisho Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Je, madai ya Mbunge kuwa serikali inatumbua sana ni ya kweli?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MAISHA NDIVYO YALIVYO: Kwanini wanawake wahonge wanaume?
TUKUBALIANE KUTOKUKUBALIANA: Amani inapodumu mitaani, milipuko misikitini, makanisani!
ACHA NIPAYUKE: Majibu ya Maghembe kwa `Acha Nipayuke`!
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa Tawi la Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, huko Bububu Zanzibar jana. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo hicho, Dk. Salim Ahmed Salim

Mapambano

Vurugu kubwa zimezuka kati ya wafanyabiashara ndogo ndogo (Machinga) na Jeshi la Polisi mkoani Iringa na kusababisha maduka kufungwa, huduma mbalimbali ikiwamo ibada za Jumapili kusitishwa baada ya jeshi hilo kutumia nguvu, kuwatawanya wafanyabiashara hao katika eneo la Mashine Tatu, Manispaa ya Iringa Habari Kamili

Biashara »

Rais Kikwete: Uwekezaji PSPF Upo Salama

Rais Jakaya Kikwete amesema uwekezaji katika Mfuko wa Watumishi wa Umma (PSPF) uko salama na kwamba uwekezaji katika mifuko ya jamii kwa ujumla nchini umeongezeka kutoka Sh Habari Kamili

Michezo »

Simba, Yanga Wavunja Rekodi

Mechi ya kufunga msimu wa 2012/13 wa Ligi Kuu ya Tanzania iliyomalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya watani wao wa jadi Simba kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam juzi imevunja rekodi kwa kuingiza kiasi kikubwa cha mapato ya mlangoni miongoni mwa mechi zote za ligi hiyo zilizowahi kuchezwa kwenye uwanja huo tangu ulipozinduliwa rasmi 2007 Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»