Tuesday Feb 9, 2016
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia
Change Language ENGLISH

Maoni ya Mhariri »

Ulipaji Madeni Ya Serikali Usiishie Kwa Makandarasi.

Serikali imewataka makandarasi waliosimamisha kazi za ujenzi wa miradi mbalimbali kurejea kazini, baada ya kuanza kuwalipa madai yao ya muda mrefu.   Serikali ya awamu ya nne kwa kipindi kirefu haikuwalipa makandarasi fedha zao kutokana na madai ya kutokuwa na fedha, hali iliyosababisha wengi wao kuondoka katika maeneo ya kazi na miradi mingi kukwama Habari Kamili

Kura ya Maoni»

APPT yasusia uchaguzi Zanzibar. Ungewashauri nini?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Wasomi wana nafasi katika jamii?
MAISHA NDIVYO YALIVYO: Nilimsomesha, amepata kazi kanitosa! Nifanyeje?
MTAZAMO YAKINIFU: Serikali ifikirie upya 'sakata' la TBC
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa na mkewe Mary wakimfariji Mufti Mkuu wa Tanzania, Abubakary Zubeiry ambaye amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matibabu, jana. Picha: Ofisi ya Waziri Mkuu

Zanzibar kaa la moto.

Mgogoro wa kisiasa Zanzibar umegeuka kaa la moto baada ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Dk Habari Kamili

Michezo »

Yanga Kuiwekea KambiSimba Simba SC Mauritius.

Homa ya mechi ya watani wa jadi imezidi kuongezeka baada ya Yanga kuamua kuweka kambi ya siku 10 nchini Mauritius, Nipashe inathibitisha.   Kikosi cha Wanajangwani chenye nyota 21 kitaondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam kesho alfajiri kwenda Mauritius kwa ajili ya mechi ya mwishoni mwa wiki dhidi ya klabu ya Cercle de Joachim, lakini hakitarejea nchini baada ya mechi hiyo ya kwanza ya hatua ya awali ya Klabu Bingwa Afrika Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»