Thursday May 23, 2013
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Tunataka Bandari D'salaam Iwe Mgodi Wa Fedha Kweli

Wataalam wa uchumi duniani kote wanataja bandari kuwa ni mgodi wa kutengeneza fedha. Mataifa yenye bandari yanajivunia kuwa nazo kwa sababu hutumika vilivyo kujenga uchumi wa mataifa hayo kwa kujiimarisha tu katika sekta ya usafirishaji kupitia bahari, reli na barabara Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Je, madai ya Mbunge kuwa serikali inatumbua sana ni ya kweli?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Kujivua gamba, tegemeo la uhai wa CCM
MTAZAMO YAKINIFU: Kukamata makahaba tunatatua tatizo gani?
MAISHA NDIVYO YALIVYO: Kwanini wanawake wahonge wanaume?
Makamu wa Rais , Dkt. Mohamed Gharib Bilal (kushoto) ,akijadili jambo na mkurugenzi wa ubadilishanaji elimu wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam, profesa Nimrod Elisante(kulia) na Mkuu wa Chuo kikuu kishiriki cha Elimu cha chuo kikuu cha Dar es Salaam, Profesa David Mfinaga (katikati) wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya 8 ya Sayansi na Teknolojia ya Taasisi za Elimu ya juu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam jana.

Hali mbaya

Machafuko yamelipuka katika Manispaa ya Mtwara Mikindani baada ya wananchi wa mji huo kuchoma moto ofisi za serikali na nyumba za viongozi wa serikali takribani sita, ikiwamo ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia na inaripotiwa kuwa mtu mmoja amekufa katika vurugu hizo na wengine kadhaa kujeruhiwa Habari Kamili

Biashara »

Dk. Kigoda Ataka Mtandao Wa Wafanyabiashara, Wazalishaji Nchini

Wafanyabishara na wazalishaji nchini wametakiwa kuunda mitandao ya ushirikiano na kuzalisha bidhaa zenye ubora wa kimataifa ili kuhimili ushindani wa masoko ya kielektroniki na mawasiliano ya karibu baina ya nchi na nchi Habari Kamili

Michezo »

Ngasa Kivutio Stars Wakijazwa Noti

Mshambuliaji mpya wa mabingwa wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara, Mrisho Ngasa, juzi usiku alionekana kuwa kivutio wakati wachezaji wa timu ya Taifa (Taifa Stars) walipokuwa wakijitambulisha mbele ya wajumbe wa Kamati ya Operesheni Ushindi ya timu hiyo ya taifa walipowatembelea kambini na kuwajaza manoti Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»