Friday Jul 31, 2015
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Muda Wa Nyongeza Wa Kujiandikisha Utumiwe Vizuri.

Jana Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) ilitangaza kuongeza siku nne zaidi za uandikishaji wapiga kura katika Daftari la Kudumu la Wapiga kura kwa mfumo wa utambuzi wa alama za mwili (Biometric Voters Registration – BVR) katika mkoa wa Dar es Salaam Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Lowasa kwenda UKAWA. Je, Una maoni gani?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Mwelekeo wa CCM na utabiri wa Nyerere
MTAZAMO YAKINIFU: Kiswahili kinajitosheleza kufundishia.
MAISHA NDIVYO YALIVYO: Umri wangu miaka 22, bibie miaka 32 nikioa kuna tatizo?
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe (kushoto), akimkabidhi fomu Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ya kuomba ridhaa ya chama chake kipya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye makao makuu ya chama hicho jijini Dar es Salaam jana. Picha: Halima Kambi

Hofu ya Dk. Slaa.

Hofu imetanda ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na wananchi kwa ujumla kutokana na kutoonekana kwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Habari Kamili

Biashara »

Balozi Sefue-Mfumo Wa Soko La Bidhaa Utainua Sekta Ya Kilimo.

Serikali imesema mfumo wa soko la bidhaa unaotarajiwa kuanza hapa nchini hivi karibuni, utasaidia kwa kiwango kikubwa kutatua changamoto za masoko kwa wakulima Habari Kamili

Michezo »

Mavugo Ayeyuka Simba.

Klabu ya Simba ya jijini Dar es Salaam imesema haiko tayari kuilipa timu ya Vital'O ya Burundi kiasi cha Dola za Marekani 60,000 kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji  Laudit Mavugo, ambaye alikuwa akielezwa kuwa ndiye mrithi sahihi wa Mganda Emmanuel Okwi aliyejiunga na SonderjyskE ya Ligi Kuu Denmark, imefahamika Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»