Tuesday May 3, 2016
| Text Size
[-]
[+]
Search IPPmedia
Badilisha Lugha KISWAHILI

BREAKING NEWS: Mnyika ashinda kesi dhidi ya Hawa Nghumbi

24th May 2012
Print
Comments
John Mnyika

Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, imetupilia mbali hoja zote tano zilizo wasilishwa mbele ya mahakama zimetupwa na jaji amemtangaza Ndugu Mnyika kuwa Mbunge halali wa Jimbo la Ubungo, na kumtaka mlalamikaji hawa Ng'umbi kulipa gharama zote za kesi hii.

Kesi hiyo namba 107 ya 2010, ilifunguliwa na aliyekuwa mgombea wa CCM, Hawa Ngh’umbi dhidi ya Mnyika ambaye ni mdaiwa wa pili katika kesi hiyo akitetewa na Wakili Edson Mbogoro.

Ushidi huo umezua ngurumo za furaha kwa washabiki wa CHADEMA walioko mahakamani hapo.

HOJA zilizokuwa zikijadiliwa hizi hapa:
1)Kwamba Mnyika alimtuhumu kuuza nyumba za UWT
2)Kutumia Laptop za Mnyika Kuhesabu kura
3)Kuingia watu wengi wa CHADEMA ktk chumba cha kuhesabia kura
4)Kuzidi kwa kura hewa 16,000
5)Kukosewa kwa karatasi za kujumulisha kura (form)

Taarifa zaidi kwa yaliyojiri mahakamani zitawajia baadae.

SOURCE: NIPASHE
0 Comments | Be the first to comment

Articles

No articles