Friday Aug 28, 2015
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Madai Ya Walimu Yafanyiwe Kazi.

Kuna taarifa kuwa wapo walimu wa shule za serikali katika maeneo mbalimbali nchini wanaendelea kusotea madai yao kwa muda mrefu sasa.   Inaelezwa kuwa madai hayo ni pamoja na malimbikizo ya nyongeza ya mishahara pamoja na gharama za upandishwaji wa madaraja Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Gharika Dar mkutano wa CCM. Vyama vingine tutegemee nini?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Amani iwe ngao kwa kampeni 2015
MTAZAMO YAKINIFU: TGNP: Lugha ya 'wanawake hawapendani' ikomeshwe.
MAISHA NDIVYO YALIVYO: Binti anaweza kuunganishwa na mamake kwa `mashetani`
Mgombea wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, akihutubia mkutano wa kampeni mjini Tunduma mkoa wa Songwe jana. PICHA: ADAM MZEE

Ukawa wasema wanahujumiwa.

Siku chache baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuzindua kampeni za mgombea wake wa urais, Dk. John Magufuli, katika viwanja vya Jangwani, Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam imezuia kuzinduliwa kwa kampeni za mgombea urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi  (Ukawa) kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, katika viwanja hivyo Habari Kamili

Biashara »

Watanzania Dhamana Za Uwekezaji Zinalipa.

Utamaduni wa kuhifadhi fedha benki na taasisi zingine za kifedha, unaongezeka taratibu kwa watanzania siku hadi siku.   Hii inafanyika kwa ajili ya usalama wa fedha zao na kupata faida inayotokana na riba toka  taasisi za kifedha Habari Kamili

Michezo »

Straika Mali Atua Simba.

Wakati mshambuliaji mwingine raia wa Mali, Makan Dembele, amewasili nchini kufanya majaribio katika klabu ya Simba, kikosi cha timu hiyo kimeondoka jijini Dar es Salaam na kuelekea Visiwani Zanzibar kwa ajili ya kuendelea na kambi kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara 2015/2016 Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»