Tuesday Oct 13, 2015
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Wagombea Toeni Ahadi Zinazotekelezeka.

Taasisi ya Mwalimu Nyerere ilikaririwa na gazeti hili jana ikisema kuwa chanzo cha Watanzania kulilia mabadiliko ni kutokana na wagombea mbalimbali nafasi za uongozi kupitia vyama mbalimbali vya siasa kutoa ahadi zisizotekelezeka Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Sera za Wagombea Uchaguzi mkuu 2015. Je, ahadi zinaeleweka?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Wasomi wanaifanyia nini nchi?
MAISHA NDIVYO YALIVYO: Nina mchumba, wazazi wanataka wanichagulie wa kwao!
MTAZAMO YAKINIFU: Kuondoka kwa Kingunge na mbele kwa mbele ya CCM
Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Ukawa, Edward Lowassa, akiwapungia mkono maelfu ya wananchi baada ya kumaliza mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu, uliofanyika kwenye Viwanja vya Furahisha mkoani Mwanza jana. Picha: Halima Kambi.

Lowassa aiteka rasmi Mwanza.

Mgombea wa Urais aliyesimammishwa na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chadema, Edward Lowassa, ameliteka jiji la Mwanza, huku uwanja wa Furahisha uliopo Ilemela ukifurika umati Habari Kamili

Biashara »

Copy Cat Yaanzisha Teknolojia Mkombozi Kwa Wafanyabiashara.

Kampuni ya Copy Cat imeanzisha teknolojia iitwayo Ricoh itakayowasaidia wafanyabiashara wakubwa na wadogo na kampuni nchini, kuokoa muda na gharama za matumizi kwa wakati husika, hatua inayolenga kuongeza ufanisi Habari Kamili

Michezo »

Kelele Zawakimbiza Yanga D'salaam.

Kocha wa Yanga, Hans van der Pluijm, anajua ugumu wa mchezo wa ligi kuu Bara dhidi ya Azam FC Jumamosi wiki hii na katika kujiweka sawa, ameamua kuwaficha wachezaji wake dhidi ya kelele za mjini Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»