Wednesday May 27, 2015
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Wosia Wa JK Uwazindue Vijana Wa Vyama Vyote.

Rais Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) aliamua kuwatolea uvivu vijana wa chama chake. Aliwaambia kuwa wanapaswa kuepuka tabia iliyoanza kuota mizizi; ile ya wao kukubali kutumiwa katika kufanikisha harakati za 'wazee' wanaosaka uongozi Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Tume: Polisi ni waonevu. Je, kuna hatua dhahiri za kurekebisha hali?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Kipenga cha 2015 kisiwe chanzo cha mafarakano
NYUMA YA PAZIA: Taifa linalopuuza kilimo linajichuria.
MTAZAMO YAKINIFU: Prof. Kapuya Kiswahili hujakitendea haki
Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Dk. Reginald Mengi (wa pili kushoto) akizungumza katika mkutano wa wamiliki wa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam jana juu ya Muswada wa Vyombo vya Habari. Wengine ni wajumbe wa MOAT, Rostam Aziz wa New Habari 2006 Ltd (kushoto), Wakili wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, Godfrey Mpandimizi (wa pili kulia) na Samuel Nyalla kutoka Sahara Media Group. PICHA: HALIMA KAMBI

Lowassa aongoza.

Nyota ya Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa, imeendelea kung’aa baada ya Taasisi ya Samunge Social Sciences Research Center (SSSRC), kufanya utafiti na kubaini kuwa kiongozi huyo ni chaguo la kwanza kwa wananchi Habari Kamili

Biashara »

Mfumuko Wa Bei Waendelea Kupaa.

Mfumuko wa bei wa taifa kwa kipimo cha mwaka kwa mwezi uliopita, umeongezeka hadi asilimia 4.3 kutoka asilimia 4.2 mwaka huu.   Mfumuko huo ambao unapima kuwango cha badiliko la kasi ya bei za bidhaa na huduma zinazotumiwa na kaya binafsi, umesababishwa na kupanda kwa bei za bidhaa za vyakula kama vile mchele, unga wa muhogo, nyama, samaki, maharage, choroko na sukari Habari Kamili

Michezo »

Yanga Yasajili Tena Wawili Wapya.

Baada ya kumnasa kiungo mshambuliaji wa Mbeya City FC, Deus Kaseke, Yanga imeendelea na usajili wa wachezaji wapya kwa kuwasainisha mikataba beki Mwinyi Mngwali na kipa Benedicto Tinocco wa Kagera Sugar Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»