Saturday Aug 2, 2014
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Hongera Washiriki Michezo Ya Madola

Mashindano ya Madola ni michuano ya kimataifa, ya michezo mbalimbali ambayo huhusisha wanamichezo kutoka nchi za Jumuiya ya Madola. Mashindano haya kwa mara ya kwanza yalifanyika mwaka 1930, na, ukiacha 1942 na 1946, ambapo yaliahirishwa kutokana na Vita Kuu ya Pili, yamefanyika kila baada ya miaka minne tangu hapo Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Ukawa. Je, warejee bunge maalum la katiba?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Tukiupuuzia mgawanyiko huu, taifa litaangamia!
MTAZAMO YAKINIFU: Waziri Nyalandu upo? Kazimzumbwi kumevamiwa
MAISHA NDIVYO YALIVYO: Mke alienda kwao kusalimia, ndugu wanamkataza asirejee tena kwangu!
Watuhumiwa wa matukio ya ugaidi wakiwa kwenye gari tayari kwa kushushwa mahakamani ili kusomewa mashitaka yao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, jumla ya watuhumiwa 19 walisomewa mashitaka yao na kutotakiwa kujibu chochote kutokana na mahakama hiyo kutokuwa na uwezo wa kusikiliza shauri hilo. Picha Na Cynthia Mwilolezi, Arusha

CCM, Ukawa ngoma nzito

Mazungumzo ya kufikia muafaka wa kushawishi Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kurudi Bungeni ili kuendelea na mchakato wa kujadili Rasimu ya Katiba Mpya, yameendelea kuwa magumu baada ya kikao hicho kutofikia muafaka hadi jana Habari Kamili

Michezo »

DC:Wazazi Wanaowakataza Watoto Kusoma Washtakiwe

Mkuu wa Wilaya ya Muheza, Subira Mgalu, amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya hiyo, Ibrahim Matovu, kuwapeleka mahakamani wazazi wanaokataza watoto wao kwenda shuleni Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»