Wednesday Feb 10, 2016
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia
Change Language ENGLISH

Maoni ya Mhariri »

Mahakama Imewezeshwa Kwa Fedha, Tunatarajia Kuona Kazi

Sababu kubwa ambayo imekuwa ikitolewa kwa miaka mingi na Mahakama ya Tanzania kuwa ni kikwazo cha kutokamilisha mashauri kwa wakati, ni ufinyu wa bajeti Habari Kamili

Kura ya Maoni»

APPT yasusia uchaguzi Zanzibar. Ungewashauri nini?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Miaka 39 ya CCM izungumzie misingi yake badala ya kuwasema wapinzani
MTAZAMO YAKINIFU: Wasomi wana nafasi katika jamii?
MAISHA NDIVYO YALIVYO: Nilimsomesha, amepata kazi kanitosa! Nifanyeje?
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (kulia), akipeana mkono na Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Dk. Reginald Mengi, baada ya kumkabidhi kitabu cha Mwongozo wa Utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NMSFEE) baada ya kukizindua, jijini Dar es Salaam jana. PICHA: MICHAEL MATEMANGA

Waziri wa Magufuli 'ampiga' Lowassa.

Ikiwa zimepita siku 40 tangu aliyekuwa mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa, kusema baadhi ya wafanyabiashara waliounga mkono upinzani wanasumbuliwa kwenye kodi, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Habari Kamili

Michezo »

Yanga Yahofia Hujuma Ugenini.

Yanga inajiandaa na safari ya kwenda Mauritius muda wowote kuanzia sasa tayari kwa mchezo wao wa Klabu Bingwa Afrika dhidi ya wenyeji Cercle de Joachim, lakini nyuma ya safari hiyo, klabu hiyo ya Jangwani imebeba mkakati wa kujiami dhidi ya uwezekano wowote wa hujuma za ugenini Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»