Wednesday Jul 29, 2015
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

NEC Itangaze Mipaka Ya Majimbo Wananchi Waijue.

Katikati ya mwezi huu Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) ilitangaza majimbo mapya ya uchaguzi 26. Maamuzi ya kutangaza majimbo hayo yanatokana na mamlaka ya Nec chini ya Ibara ya 75 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Lowasa kwenda UKAWA. Je, Una maoni gani?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Mwelekeo wa CCM na utabiri wa Nyerere
MTAZAMO YAKINIFU: Kiswahili kinajitosheleza kufundishia.
MAISHA NDIVYO YALIVYO: Umri wangu miaka 22, bibie miaka 32 nikioa kuna tatizo?
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa akipokea kadi ya uanachama kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe jijini Dar es Salaam jana. Picha: Halima Kambi.

Edward Lowassa aitosa rasmi ccm.

Dakika 18 pekee alizotumia Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, zilitosha kubadili medani za siasa nchini wakati akitangaza kukihama Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kwenda Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Habari Kamili

Michezo »

Yanga Kuvunja Rekodi Azam Leo?

Wakati Yanga na Azam FC zitakumbushia fainali za 2012 ya Kombe la Kagame zitapokutana leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Kocha Mkuu wa Wanajangwani hao, Hans van der Pluijm, amesema atawathibitishia kuwa Wanalambalamba walipangwa katika kundi dhaifu la michuano hiyo mwaka huu Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»