Wednesday May 22, 2013
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Sheria Ya Habari Imechelewa Mno

Wanasheria wana usemi kwamba katika kusimamia sheria siyo kutenda haki tu bali haki ionekane ikitendeka’. Wanatoa usemi huu wanapojenga hoja kwamba katika kutenda haki ni lazima mchakato wote wa kusimamia haki hiyo uonekana ukisimama kwenye mstari wa haki Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Je, madai ya Mbunge kuwa serikali inatumbua sana ni ya kweli?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Kujivua gamba, tegemea la uhai wa CCM
MTAZAMO YAKINIFU: Kukamata makahaba tunatatua tatizo gani?
MAISHA NDIVYO YALIVYO: Kwanini wanawake wahonge wanaume?
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, akizungumza na wajumbe, wakati wa Kikao Cha Kamati Kuu (CC) ya CCM, kilichofanyika jana 2013, kwenye ukumbi wa Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.

Obama kutua mwezi ujao

Ziara ya siku nane ya Rais wa Marekani, Barak Obama na mkewe Michelle katika nchi za Tanzania, Afrika Kusini na Senegal, imeelezwa kuwa ina lengo la kuimarisha ukuaji wa uchumi, uwekezaji na biashara, uimarishaji wa taasisi za kidemokrasia na uwekezaji katika kizazi kipya cha viongozi wa Afrika Habari Kamili

Biashara »

Bandari Yapotezea Nchi Trilioni Sh. 2.9

Ripoti ya Benki ya Dunia (WB) kuhusu hali ya Uchumi wa Tanzania ya mwaka jana imebainisha kuwa Tanzania imepoteza zaidi ya Dola za Marekani bilioni 1 Habari Kamili

Michezo »

Simba, Yanga Kikaangoni Kagame

Mabingwa watetezi wa mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame), Yanga wataanza kutetea taji lao dhidi ya Express ya Uganda katika mechi ya kundi C Juni 20 kwenye Uwanja wa Elfasher saa nane mchana wakati Simba iliyopangwa kundi A la 'kifo' itashuka dimbani siku inayofuata kuivaa El Mereikh Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»