Juzi Rais Jakaya Kikwete alianza kampeni ya kupambana na lishe duni kwa taifa hili kwa kushiriki katika uzinduzi wa kuweka viini lishe katika vyakula vinavyosambazwa nchini kama mafuta ya kula, unga wa ngano na ule wa mahindi, ili kuondokana na tatizo hilo ambalo linaelezwa kuendelea kukua kwa kasi nchini
Habari Kamili