Saturday Aug 1, 2015
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Ligi Bara Haihitaji Kocha Mzungu

Ilianza kwa Simba na Yanga katika miaka ya 1970 kabla ya Azam kuja na uwezo wa kula sahani moja kiuchumi na vigogo hivyo katikati ya miaka ya 2000.   Tunazungumzia, Nipashe, mtindo wa klabu za ligi kuu ya Bara kuajiri makocha wa kigeni, hasa kutoka nje ya bara la Afrika Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Lowasa kwenda UKAWA. Je, Una maoni gani?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Mwelekeo wa CCM na utabiri wa Nyerere
MTAZAMO YAKINIFU: Kiswahili kinajitosheleza kufundishia.
MAISHA NDIVYO YALIVYO: Umri wangu miaka 22, bibie miaka 32 nikioa kuna tatizo?
Spika Wa Bunge, Anne Makinda akizungumza katika Maadhimisho ya Siku ya Mwanamke wa Afrika yaliyoandaliwa na Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. PICHA: SELEMANI MPOCHI

Nape anaswa Takukuru

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Lindi, imemhoji Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, kwa madai ya kukutwa na fedha zinazodaiwa za kuwapa wajumbe ili wamchague katika kura za maoni Habari Kamili

Biashara »

Balozi Sefue-Mfumo Wa Soko La Bidhaa Utainua Sekta Ya Kilimo.

Serikali imesema mfumo wa soko la bidhaa unaotarajiwa kuanza hapa nchini hivi karibuni, utasaidia kwa kiwango kikubwa kutatua changamoto za masoko kwa wakulima Habari Kamili

Michezo »

Pluijm: Tatizo Kiungo Yanga

Kocha wa Yanga, Hans van der Pluijm, amesema timu yake ina mapungufu makubwa kwenye kiungo, lakini pia inahitaji marekebisho makubwa katika safu ya ulinzi Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»