Kwa kipindi kirefu kumekuwapo na madai ya kuwa baadhi ya viongozi wamekuwa vinara wa biashara ya madawa ya kulevya. Wananchi katika ngazi mbalimbali wamekuwa wakisubiri kusikia tuhuma hizo ambazo wiki hii serikali imetakiwa kueleza hatua zilizochukuliwa dhidi yao ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano
Habari Kamili