Tuesday Jun 18, 2013
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Uungwaji Mkono Stars Uwe Endelevu

Timu ya taifa ya soka (Taifa Stars) imepata uungwaji mkono mkubwa hivi karibuni baada ya serikali kuunda kamati maalum ya kuisaidia kufanya vizuri katika michuano mbalimbali ikiwamo ya kuwania kufuzu kwa fainali zijazo za Kombe la Dunia zitakazofanyika mwakani nchini Brazili Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Rasimu mpya ya Katiba. Je, unaunga mkono mfumo wa serikali tatu?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MAISHA NDIVYO YALIVYO: Mume anaenda masomoni anarudi umebeba mimba ya mwezi na nusu!
TUKUBALIANE KUTOKUKUBALIANA: Hii siyo Katiba, tusiwapotoshe Watanzania!
ACHA NIPAYUKE: Onyo la Keissy na jeuri ya wabunge wa CCM!
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe (kushoto), akimfariji Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari, katika Hospitali ya Arusha Medical Lutheran Center (ALMC) alikolazwa baada ya kushambuliwa na watu wanaodhaniwa kuwa makada wa CCM Makuyuni, Monduli, mkoani Arusha juzi.

Lukuvi amchefua Mbowe

Taarifa ya serikali iliyosomwa bungeni jana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi, kuhusiana na tukio la shambulizi la bomu jijini Arusha Jumamosi iliyopita, imemchafua Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe Habari Kamili

Biashara »

NBC Kushindanisha Wateja Wake

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC)  imezindua kampeni ya miezi miwili na nusu kwa ajili ya wateja wake wa huduma za kibenki zinazofuata sheria za Kiislamu, ili kupata washindi wawili watakao kwenda kuhiji Makkah Oktoba mwaka huu kwa kulipiwa kila kitu na benki hiyo Habari Kamili

Michezo »

Yaya Azima Ndoto Za Stars Stars Wafa Kiume

Ivory Coast ilijihakikishia nafasi ya kucheza hatua ya mtoano ya kuwania kufuzu kwa fainali zijazo za Kombe la Dunia baada ya kushinda ugenini 4-2 dhidi ya timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) katika mechi yao kali ya Kundi C kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»