Sunday May 1, 2016
| Text Size
[-]
[+]
Search IPPmedia
Badilisha Lugha KISWAHILI

EU yatoa mabilioni

11th May 2012
Print
Comments

Umoja wa Ulaya EU umetoa Euro milioni 2.5 (Sh. bilioni tano) kwaTanzania, kusaidia miradi ya maendeleo kwa lengo la kutoa fursa za ajira na  kukuza uchumi.

Naibu Ofisa Mhidhinishaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Ulaya kutoka Wizara ya Fedha, Samwel Marwa, alisema  tayari mkataba wa fedha hizo ulishasainiwa wanachosubiri ni wadau mbalimbali kuandika michanganuo ya miradi yao.

SOURCE: NIPASHE
0 Comments | Be the first to comment

Articles

No articles