Zikiwa zimebaki siku 11 ili mkataba wake na klabu ya Simba ya jijini Dar es Salaam umalizike, kipa chaguo la kwanza ndani ya timu hiyo na taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Juma Kaseja, amesema bado hajasaini mkataba wa kuichezea klabu yoyote nchini na kwamba hana wasiwasi endapo atatemwa kwenye usajili wa klabu yake ya 'Wekundu wa Msimbazi'
Habari Kamili