Saturday Feb 6, 2016
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia
Change Language ENGLISH

Maoni ya Mhariri »

Tahadhari Ichukuliwe Dhidi Ya Upepo Mkali, Mawimbi Makubwa

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imewataka wananchi wa ukanda wa Pwani kuchukua taadhari dhidi ya upepo mkali na mawimbi makubwa katika Bahari ya Hindi kuanzia jana Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Bunge jipya. Je, Kasi ya bunge jipya inakuridhisha?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Serikali ifikirie upya 'sakata' la TBC
MTAZAMO YAKINIFU: Ujangili: Kumbe haukuwa kijipu uchungu
MTAZAMO YAKINIFU: Bunge likiwaza maslahi ya vyama, litakutwa na yaliyomkuta Petro
Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia alikuwa mgombea urasis kwa tiketi ya Chadema na kuungwa mkono na Ukawa, Edward Lowassa akizungumza na waandishi wa habari kwenye mahojiano maalum yaliyofanyika ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana. PICHA: SELEMANI MPOCHI

Lowassa ahofu Al-Qaeda kujipenyeza Zanzibar

 ALIYEKUWA mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ambaye alikuwa akiungwa mkono na vyama vinavyounga mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, ameonya kuwa ipo hatari Zanzibar ikatumiwa kuwa njia ya kuingia magaidi wa aina ya Al-Qaeda nchini endapo jitihada maalum hazitafanyika sasa katika kumaliza mkwamo wa kisiasa visiwani humo na kuzuia uwezekano wa kuvunjika kwa hali ya amani Habari Kamili

Michezo »

Yanga Yatangaza Vita

 WAKATI kukiwa na mambo mengi yanayosemwa kuhusu kuboronga kwa Yanga katika mechi mbili zilizopita za ligi ya Bara, kocha wa timu hiyo, Hans van der Pluijm, amesema ulikuwa 'upepo tu' na watalithibitisha hilo katika mechi yao ya kesho dhidi ya JKT Ruvu Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»