Sunday Nov 29, 2015
| Text Size
[-]
[+]
Search IPPmedia

Chadema kueleza

28th January 2013
Print
Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Chadema, John Mnyika

Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo inatarajia kutoa tamko lake baada ya kukutana jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Mkurugenzi wa  Habari na Uenezi wa Chadema, John Mnyika, aliyasema hayo jana alipozungumza na NIPASHE na kuongeza kuwa tamko la kamati hiyo litatolewa na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe.

Alisema tamko hilo litatolewa katika kikao cha Baraza Kuu la chama hicho leo.

SOURCE: NIPASHE