Tuesday May 26, 2015
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

TFF Chanzo Cha Nooij Kuvurunda Stars.

Hatimaye timu ya soka ya Taifa (Taifa Stars), mwishoni mwa wiki ilirejea nchini vichwa chini ikitokea Afrika Kusini kushiriki michuano ya Vyama vya Soka Kusini mwa Afrika (Cosafa) baada ya kuchapwa mechi zote tatu za Kundi B Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Tume: Polisi ni waonevu. Je, kuna hatua dhahiri za kurekebisha hali?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MAISHA NDIVYO YALIVYO: HASIRA: Zimwi linalotesa familia nyingi, tufanyeje?
ACHA NIPAYUKE: Bunge linapogeuzwa uwanja wa kampeni na mipasho!
NYUMA YA PAZIA: Woga wa maamuzi unaua Shilingi
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete (kushoto), akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho mjini Dodoma. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. PICHA: IBRAHIM JOSEPH

Mgombea urais CCM Julai 12.

Chama cha Mapinduzi(CCM) kimetoa ratiba ya mchakato wa uteuzi wa wagombea wake katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu, huku ikionyesha mgombea urais atapatikana Julai 12, mwaka huu baada ya kupitishwa na mkutano mkuu Habari Kamili

Biashara »

Mfumuko Wa Bei Waendelea Kupaa.

Mfumuko wa bei wa taifa kwa kipimo cha mwaka kwa mwezi uliopita, umeongezeka hadi asilimia 4.3 kutoka asilimia 4.2 mwaka huu.   Mfumuko huo ambao unapima kuwango cha badiliko la kasi ya bei za bidhaa na huduma zinazotumiwa na kaya binafsi, umesababishwa na kupanda kwa bei za bidhaa za vyakula kama vile mchele, unga wa muhogo, nyama, samaki, maharage, choroko na sukari Habari Kamili

Michezo »

Simba, Yanga Zanasa Vifaa Vipya Mbeya City

Klabu kongwe za soka nchini Simba na Yanga zote za jijini Dar es Salaam zimeendelea kuibomoa timu ya Mbeya City ya Mbeya baada ya jana Wekundu wa Msimbazi kufanikiwa kumsajili mshambuliaji wa timu hiyo, Peter Mwalyanzi, imefahamika Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»